Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

Msidanganywe Wala msidanganyike.

1. Yesu Alikuwa kama Binadamu yoyote wa KAWAIDA.
Alipotea mbele ya Baba yake na Mama yake wakiwa sokoni
Akaja kuonekana akiwa kwenye Nyumba ya Baba kanisa.

Hata alipofanya Muujiza kana alimwambia mamayake kuwa wakati wake Bado haujafika

2. Yesu aliendelea kukua zaidi na zaidi Katika hekima na kimo akimpendeza Mungu na wanadamu. Luke 2 52.

Aliendelea kumsaidia baba yake Katika kazi za uselemala, kuchonga mbao, ufugaji nk.
Rejea Amepataje kujua kusoma huyo mtoto wa Selemala.

3. Alianza kuifanya kazi ylaliyotumwa na Baba yake akiwa na Umri wa MIAKA 30-33.

TAFADHALI SANA MSIPOTOSHE UKWELI.

Kumbe yesu si mungu , afadhali umeelewa kwani kwenye nambari 2 umeandika yesu akimpendeza Mungu,

Hongera sana ,
 
Ya Mwanamalundi tu hujatuwekea tayari ushakimbilia kwa nani sijui!

Hebu anza na za nyumbani ambazo tunaweza kwenda kuzihakikisha.

MAGUFULI4LIFE.
 
Lost years of life of Jesus ilitokea baada ya Baba yake na Mama yake kukumbuka ahadi waliotoa kwa wale Mamajusi waliokoa maisha ya Yesu asiuwawe na Herode.

Kumbuka si waisraeli wala wayahudi na hata wazazi wake walitambua mtoto Yesu anauwezo gani Kroho, bali ni wale mamajusi wataalamu wa nyota na utabiri kwa kufuata elimu yao ya nyota walijua kuna mtoto atazaliwa Israeli mwenye Roho takatifu, wao wakiamini kuwa ni Roho ya Krishna aliyekufa miaka 2000 kabla ya kuzaliwa Yesu, aliahidi kuwa atarudi na atakapo zaliwa kutaongozwa na Nyota kuomyesha mahali atalapo zaliwa. Krishna alitambulika ni Mungu na mfalme according to Hinduism. Kwa mila na desturi yao binadamu mwenye higher spiritual knowledge ndio alikuwa anafanywa mtawala. Bila kujua desturi za kiyahudi walimwambia mfalme Herode kwamba kuna mtoto atazaliwa na ndie atakuwa mfalme bila kujua wanahatarisha maisha ya mtoto Yesu. Na wakamwambia wako kwenye mission ya kushuhudia na kusujudia uzao wa mtoto huyo.

Herode aliwatega akawapa zawadi za kumpelekea mtoto lakini aliwataka wakati wanarudi wapitie kwake iliwampe habari za mtoto alipo nae akamsuujudie. Waligundua njama ovu za Herode hivyo waliwatahadharisha wazazi wa mtoto na kuwataka wamtoroshee mtoto kwingineko. Lakini waliwambia Mariam na Yusufu utakatifu na utume wa Roho ya mtoto Yesu. Pia wao ndio pekee wanauwezo wa kumfungulia njia ya kiroho (Spiritial initiolization) hivyo akifika umri wa kusoma basi wamtume mtoto kwao kwa mafunzo maalumu(mafunzo ya kiroho). Kwa kutumia zawadi (vito vya thamani) vya mtoto Yesu alivyopewa na Mamajusi kuchanganya na zawadi za Herode, Mariam na Yusufu walimtoroshea mtoto Yesu Misri ambako waliishi mpaka waliposikia Mfalme Herode amefariki na Mtoto wa Herode anatawala na kwamba hakuna hatari kwa mtoto wao, ndipo wakaamua kurudi na kuishi Galilae. Yusufu akifanya shughuli ya Uselemara na Yesu akihuzulia Madrasa na wakati wa ziada akimsasia Baba yake shughuli ndogo ndogo za uselemara.

Siku moja ya Sabato wakati Yesu akiwa na Miaka 12 wakirudi toka Jerusalemu kusali katikati ya safari walipoteana na mtoto Yesu. Katika harakati za kumtafuta wakaamua kurudi Jerusalemu wakamkuta Yesu katikati ya Marabai(wakufunzi wa dini ya kiyahudi) akibishana nao kuhusu maandiko ya Torati. Walipomuuliza kwanini amewasumbua aliwambia mnashangaa nini hamjui hii ni nyumba ya Baba yangu. Ndipo Mariam na Yusufu wakakumbuka ahadi waliotoa kwa wale mamajusi walimu wa Nyota na Utabiri. Wafanya utaratibu wa kumpeleka Yesu India ambako alipata Initiation ya mafunzo ya kiroho. Yesu alipata funuo za kiroho haraka sana na kuwapita walimu wake akawa na uwezo wa kufanya miujiza mikubwa pia (spiritual powers). Yesu hakurudi Israel moja kwa moja alipita nchi nyingi sana zikiwemo Mongolia ya Uchina, Uajemi, Ugiriki na hata Uingereza akitoa mihadhala kwenye vyuo mbalimbali.

Hivyo basi ni sahihi kusema kati ya miaka ya 13 miaka ya 29 hakuwepo Israel alirudi akiwa na miaka 30 na matumaini makubwa ya kuwaonyesha Wayahudi mamna ya kumwabudu Mungu kwa Njia ya Roho na Uzima sio kwa imani bali kwa njia ya Kweli.

Yesu aliishi miaka 40 akifundisha mafundisho yake yaliyopingana dini na pia mila na desturi za kiyahudi.

Mfano:-

1. Imani ya kiyahudi ilikataza kulitaja bure jina la Mungu. Wao wakimwita kwa jina Kehova kwa maana aliyejuu. Yeye akifundisha kuwa yeye ni mwana wa Mungu kwa maana kazaliwa na Mungu kitendo ambacho wao waliona anamdhihaki Mungu wao.
2. Wayahudi alifanya Tohara ni lazima lakini Yeye alipoulizwa alisema kama Baba yake yaani Mungu angeliona hilo twakwa la lazima basi wangekuwa wanazaliwa wakiwa wamesha tahiriwa toka tumboni mwa mama zao. Ilikuwa dharau kwa mila za kiyahudi
3. Lakini pia alipinga sheria ya kulipa visasi alitaka watu wasameane.
4. Alipingana na mila ya kibaguzi. Wayahudi hawakuchangamana na wasioamini imani ya kiyahudi kwa maana ya wasamaria. Pia kutochangamana kati wanaume na wanamke na waisraeli na wamataifa. Yeye alichangamanisha wafuasi wake bila kujali dini, jinsia na utaifa wao. Myahudi hakurusiwa kula au kunywa na asiye Myahudi. Hakurusiwa kuongea na Mtu wa jinsia nyimgine labda awe ndugu au mke au mume. Yesu aliongea na Yule mwanamke wa kisamaria pale kisimani kiasi kwamba wanafunzi wake walirudi na kumkuta akifanya hivyo walimshangaa.
5. Yesu alifuatwa kwa maamuzi ya shauri mbalimbalia. Alifanya hivyo bure bila kutoza gharama.

Miujiza na mafundisho yake pia shuruhishi zake zilimfanya apate wafuasi wengi sana na kupelekea uhaba wa waumini kwenye masinagogi na kwenye mabaraza ya mafarisayo. Hii ilimjengea uadui kwani alisabisha zaka na faini kupungua na kupelekea kutokea mgogoro mkubwa na uadui baiana yake na Makuhani na Mafarisayo amboa wakapanga njama ya kumkamata na kumuua.
Kwa njama za Makuhani na mafarisayo alisingiziwa kuwa ni muhaini na kuhumiwa kwa hilo na kupata adhabu ya juu kabisa ya wakati huo. Kusulubishwa.
 
Unachanganya mambo, mengine keeli, mengine ya kubumba.

Source yako ni nini??
 
Hivi uzi wa kipumbavu kama huu unawekwaje jamii intelligent [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Yah Facts, Full of facts na nilisahau kuielezea hii ya KILA sehemu alizoenda kwa sababu ningezua taharuki na ningeitwa atheists bure
DR. Unazingua. Haya sisi ndo tunayajua,yakwako ni mapya kwetu. Halafu unasema ulisahau kuandika hapo hapo ingezua taharuki. Which is which?
 
Yeah Unajua Kuna mambo kuyaeleza inabidi moyp pia ukubali kuyatetea na kuyatunza yasiharibiwa na maana za nje...

Kwahyo inakuwaga ni ngumu sana kuwasilisha mambo yanayogusa Hisia Kwa lugha ya Nyepesi ya kueleweka ambayo watu wanaweza kuelewa pasina kujicontradicts....
 
Kwani uzi wako una husu nini na logic yake ni nini maana sioni logic
Mkuu mimi nimeandika Uzi na uzi una mwa mmoja na miezi minne wa ulipaswa kusema uzi huu una upuuzi kwa sababu hizi (Ukazitaja sababu)...
Ukitaka nikwambia Sababu ya kuandika uzi na wakati tayari zipo..

Nawezi nikakuona kinyume chake ulivyosema
 
Uzi hauna logic
 
Biblia haizungumzii Kila kitu kuhusu maisha ya main character wake
 
Back
Top Bottom