Basi kibanda maitisipendi mtu anayetumia neno "kibanda"akimaanisha "nyumba".... naonaga ni neno flani linatumika na maskini flani ambao ni washamba hivi .
Hii akili congsNilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9.
Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti.
Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k nikaanza kuzungusha na na kuweka material kidogo kidogo , nikiliwa navuta mwezi natupia tena 500k.
Sasa na Mimi nimepata kibanda MPAKA pale nitakapokuwa na fedhaa za kutosha kutoka KWENYE mishe zangu. Nitajenga jumba si kibanda.
Sibeti tena ng'oo!
But we get even small smallThe house never lose.