Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Uzuri vyombo vya usalama husoma tetesi kama hii na kuanza kuingia mitaani, ktk jamii na vijijini kujaribu kufahamu hii hofu yako uliyo iwakilisha hapa JF.
Sina hofu wa tetesi yoyote mkuu. Nina ndugu zangu wanafanya kazi za Police na JWTZ kama nikiwa na taarifa/tetesi ninaweza kuwapa wao au mwenyekiti wa serikali ya mtaa wangu.
 
Hiyo sio tafsiri ya home grown.
 
Taasisi za dini zinawanyoosha vipi watoto?
 
Jamii anamoishi haina mchango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…