Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Mbbnb [emoji21][emoji238][emoji57][emoji21][emoji57][emoji57][emoji57][emoji849][emoji849][emoji849] z n
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
Ninaishi USA. Nasikia CCM ilichukua majimbo yote katika uchaguzi wa mwaka jana 2020. Ni kweli?
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
 
Kwa definition, kama terrorist na victim ni wa uraia mmoja ndani ya hiyo nchi, ndio inakuwa domestic terrorism. Kwa MKIRU victims walikuwa Watanzania na kwa taarifa magaidi walikuwa Watanzania, ni domestic terrorisms.
Sasa mkuu, wale magaidi wa MKIRU wangepata msaada kutoka nje kwa watu wabaya kama ISIS, Al Shabaab au nchi hasimu wa Tanzania, bado hilo neno "domestic terrorism" lingeendelea kutumika?
 
Sasa mkuu, wale magaidi wa MKIRU wangepata msaada kutoka nje kwa watu wabaya kama ISIS, Al Shabaab au nchi hasimu wa Tanzania, bado hilo neno "domestic terrorism" lingeendelea kutumika?
Lingekuwa sawa.... maana wangekuwa magaidi wa Kitanzania wanaofanya ugaidi hapa Tanzania. Sept 11 ilifanywa na wageni watupu, mipango ilifanywa Indonesia, Germany, Pakistan na Afghanistan; kiongozi wao Mohamed Atta alikuwa anatoka Misri, kati ya magaidi 20 waliofanya tukio 15 walikuwa ni kutoka Saudi Arabia. There is no way itakuwa ni Domestic Terrorism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…