Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #141
Sawa kaka mkubwa, nilikuwa ninawakumbusha tu wahusikaSiri ya kambi haivujishwi nje...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kaka mkubwa, nilikuwa ninawakumbusha tu wahusikaSiri ya kambi haivujishwi nje...
Ya babayo NyerereImp!
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
Ninavyojua Rais Samia anatembea kwenye viatu vya wazalendo kama mzee Kikwete na mwalimu Nyerere.Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
Home grown au domestic terrorism ni raia wanahusika. Hapa hakuna mtu yeyote wa ndani aliyetoa mchongo wowote au kuwasaidia magaidi wale. Waliutumia mfumo wa uhuru uliopitiliza kutekeleza walichotaka.Kabla ya kutokea kwa tukio lile la kugongesha ndege katika ghorofa pacha, wahalifu wale tayari walikuwa na watu wao ndani ya Marekani waliowasaidia kuwapa taarifa (watoto wa mjini wanasema kuchora rada) kabla ya kupanga mpango mzima wa kuteka ndege na kuleta msiba mzito ndani ya ardhi ya rafiki zetu wa Marekani.
Rais Samia anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.Ninavyojua Rais Samia anatembea kwenye viatu vya wazalendo kama mzee Kikwete na mwalimu Nyerere.
Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.
Uchumi unakua?Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.
OkayHome grown au domestic terrorism ni raia wanahusika. Hapa hakuna mtu yeyote wa ndani aliyetoa mchongo wowote au kuwasaidia magaidi wale. Waliutumia mfumo wa uhuru uliopitiliza kutekeleza walichotaka.
Ulivyopewa karatasi ya kura mwaka jana 2020 ulihakikisha umempa alama ya vema Rais Samia?Rais Samia anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.Ulivyopewa karatasi ya kura mwaka jana 2020 ulihakikisha umempa alama ya vema Rais Samia?
Ujinga huu achana naoNchi kwanza, vyama vya siasa baadae.
President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.
Sasa gaidi anakuwaje swahiba wako mzee baba?Nimemmiss sana swaiba wangu Osama bin laden baba la makomandoo
Hahahahaaaa Mkuu, hizi aina zako za ugaidi zimenifanya nicheke sana. Umeniacha hoi.Kabla ya kufikiria ugaidi wa kiwango hicho,tuanze na "ugaidi"wa ulaji wa pesa ya umma kama ule unaofanyika hazina,wa kupiga millioni 400 kwa siku.
Tukimaliza tuanze na "ugaidi"wa ujinga wa wabongo wa kuona kuanzisha mkoa mwingine,Kuna tija,zaidi ya kufanya juhudi za kupunguza matumizi yasio ya kawaida Ili nchi ijikite kwenye mambo ya maendeleo.
Sio kupotoshwa hii inatokana na kukosekana usawa katika jamii,ufisadi uliokithiri ,wenye cheo na kipato kutowajari Hawa wa chini,ajira za upendeleo,uonevu katika biashara,jamii ya kipato Cha chini kunyanyaswa kuanzia matibabu,elimu mashuleni,mahakamani hukumu zisizo za haki na viongozi kuwa Mungu-mutu,na mengineyo yenye kukandamiza jamii,watu mwishowake wanaona Bora vurugu isiyo na faida kuliko amani yenye mateso na uonevu.Tuangalie kwa umakini movement kueleka upande wa kusini mwetu hasa Msumbiji, kuna vijana hawana hili wala lile wanaweza kupotoshwa na baadaye kuleta hayo matatizo ya domestic terrorism
Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.Sasa gaidi anakuwaje swahiba wako mzee baba?
Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
Kunaweza kuwa na usawa lakini watu wakahisi kama hakuna usawa.Sio kupotoshwa hii inatokana na kukosekana usawa katika jamii