Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
 
Kabla ya kutokea kwa tukio lile la kugongesha ndege katika ghorofa pacha, wahalifu wale tayari walikuwa na watu wao ndani ya Marekani waliowasaidia kuwapa taarifa (watoto wa mjini wanasema kuchora rada) kabla ya kupanga mpango mzima wa kuteka ndege na kuleta msiba mzito ndani ya ardhi ya rafiki zetu wa Marekani.
Home grown au domestic terrorism ni raia wanahusika. Hapa hakuna mtu yeyote wa ndani aliyetoa mchongo wowote au kuwasaidia magaidi wale. Waliutumia mfumo wa uhuru uliopitiliza kutekeleza walichotaka.
 
Home grown au domestic terrorism ni raia wanahusika. Hapa hakuna mtu yeyote wa ndani aliyetoa mchongo wowote au kuwasaidia magaidi wale. Waliutumia mfumo wa uhuru uliopitiliza kutekeleza walichotaka.
Okay
 
Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.
President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
 
Kabla ya kufikiria ugaidi wa kiwango hicho,tuanze na "ugaidi"wa ulaji wa pesa ya umma kama ule unaofanyika hazina,wa kupiga millioni 400 kwa siku.
Tukimaliza tuanze na "ugaidi"wa ujinga wa wabongo wa kuona kuanzisha mkoa mwingine,Kuna tija,zaidi ya kufanya juhudi za kupunguza matumizi yasio ya kawaida Ili nchi ijikite kwenye mambo ya maendeleo.
Hahahahaaaa Mkuu, hizi aina zako za ugaidi zimenifanya nicheke sana. Umeniacha hoi.
 
Tuangalie kwa umakini movement kueleka upande wa kusini mwetu hasa Msumbiji, kuna vijana hawana hili wala lile wanaweza kupotoshwa na baadaye kuleta hayo matatizo ya domestic terrorism
Sio kupotoshwa hii inatokana na kukosekana usawa katika jamii,ufisadi uliokithiri ,wenye cheo na kipato kutowajari Hawa wa chini,ajira za upendeleo,uonevu katika biashara,jamii ya kipato Cha chini kunyanyaswa kuanzia matibabu,elimu mashuleni,mahakamani hukumu zisizo za haki na viongozi kuwa Mungu-mutu,na mengineyo yenye kukandamiza jamii,watu mwishowake wanaona Bora vurugu isiyo na faida kuliko amani yenye mateso na uonevu.
 
Sio kupotoshwa hii inatokana na kukosekana usawa katika jamii
Kunaweza kuwa na usawa lakini watu wakahisi kama hakuna usawa.

Wananchi wanaweza kudanganywa na maadui wa nje wa taifa kuwa serikali yao haina usawa, jambo ambalo si sahihi.

Mkuu, unafikiri ni watanzania wote tunaweza kuwa na kipato cha 3,000,000/= kwa mwezi? Watu hawalingana hata huko Marekani na Ulaya ipo hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom