Katika miaka 24 ya Mwalimu Nyerere kulikuwa na kesi 3 za uhaini.
Maasi ya 1964, kesi ya Mataka, Chipaka, na Bibi Titi, na mwisho kesi ya Hatty McGhee, Eugene Maganga, na wenzao.
Lakini tukumbuke kwamba wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa hakuna fursa ya mfumo wa vyama vingi.
Katika miaka ya utawala wa Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, na Magufuli, hakukuwa na kesi za uhaini. Hiyo ni jumla ya miaka 35 ya uongozi.
Tangu Rais Samia aingie madarakani, ndani ya miaka 4 tunashuhudia kesi 3 za uhaini. Hivi nchi yetu inaelekea wapi?