1. Lisumiaka 4 tunashuhudia kesi 3 za uhain
Slaa1. Lisu
2.
Hivi Kambona hakupewa kesi ya uhaini?
Hizi kesi 4 ni za kina nani? Wengi tunaijua ya Lisu....orodhesha kama hautojali
Mbowe nilidhani ilikuwa kipindi cha Magufuli??1. Freeman Mbowe.
2.Wilbrod Slaa.
3.Tundu Lissu.
Mbowe nilidhani ilikuwa kipindi cha Magufuli??
Slaa kumbe ilikuwa kesi ya uhaini....didn't know.
Siungi mkono ukandamizaji wa namna yoyote. Swali ninalojiuliza tu sikuzote....
Je polisi wetu wapo huru? Ukamataji wao unatoka ndani ya mfumo wa kipolisi au kuna simu inapigwa na Ikulu nenda mkamkamate Lisu? Mimi na wewe hatujui.
Je, mahakama nazo zipo huru? Tunapoziingilia na kuziamuru zimwachie fulani bila dhamana hatuingilii uhuru wa mahakama? Au uingiliaji ni wa serikali tu kwa tafsiri yetu?
Sijui....
Wewe mwache aubeep uhaini watampigia kweli, nyimbo mbaya habembelezewi mtoto.Katika miaka 24 ya Mwalimu Nyerere kulikuwa na kesi 3 za uhaini.
Maasi ya 1964, kesi ya Mataka, Chipaka, na Bibi Titi, na mwisho kesi ya Hatty McGhee, Eugene Maganga, na wenzao.
Lakini tukumbuke kwamba wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa hakuna fursa ya mfumo wa vyama vingi.
Katika miaka ya utawala wa Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, na Magufuli, hakukuwa na kesi za uhaini. Hiyo ni jumla ya miaka 35 ya uongozi.
Tangu Rais Samia aingie madarakani, ndani ya miaka 4 tunashuhudia kesi 3 za uhaini. Hivi nchi yetu inaelekea wapi?.
Wewe mwache aubeep uhaini watampigia kweli, nyimbo mbaya habembelezewi mtoto.
4. Mwabukusi na Mdude1. Freeman Mbowe.
2.Wilbrod Slaa.
3.Tundu Lissu.
Mbowe ilikua ya ugaidi kama ilivyokua kwa Lwakatare kwa JK…1. Freeman Mbowe.
2.Wilbrod Slaa.
3.Tundu Lissu.
Samia anachezeshwa singeli na wasaidizi wake bila kuelewa..kesi za uhaini wakati wa Mwalimu Nyerere zilihusisha watuhumiwa zaidi ya mmoja, na wengine wakiwa askari on active duty. kesi za uhaini za kipindi cha Samia Suluhu, mbili zinahusisha mtuhumiwa mmoja.
Tatizo shule ndogo!!Samia anachezeshwa singeli na wasaidizi wake bila kuelewa