Miaka 25 wote hawajawahi kuivuka rekodi hii CAF Champions League

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998

Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora

Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia

Yanga, miaka ishirini na tano sasa
 
Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998
Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora
Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia Yanga, miaka ishirini na tano sasa
Ni kweli. Lkn timu zetu zimepiga hatua kubwa sana ukilinganiaha na ilivyokuwa 1998. Very soon tutaanza kufika nusu fainali na hata zaidi
 
Ili uweze kufanya nusu fainali ni Malengo ya Kawaida unahitaji kuwa na vyanzo vya kudumu vya mapato kumudu bajeti ya kuiendesha timu kisasa.

Timu zetu bado bajeti zake zinahitaji mifuko ya watu binafsi kitu ambacho kina kwamisha maendeleo ya mpira.
Timu zinahitaji wataalamu na Kambi za kisasa kitu ambacho ni gharama.
Timu zinahitaji vitalu vya wachezaji vinavyo hudumiwa kisasa.

Mpaka Sasa bado tuna safari ndefu kuweza kushindana na timu kubwa za Africa ambazo zina bajeti zilizo jitosheleza.

GSM na MO wakiondoka timu zinarudi kwenye uhalisia wake na kufika hatua ya Makundi CAF una anza kua mtihani mzito.
 
Ufafanuzi mzuri
 
Simba ndio kioo Cha soka la Tanzania.

Mwaka 1973 imecheza nusu Fainali.

Mwaka 1993 IMECHEZA Fainali na Stella Abijan ya ivorycost uwanja WA Taifa Ulikuwa inaitwa uhuru.
(Hapa ndipo ilizaliwa Kichwa Cha MWENDAWAZIMU).

Miaka yote ya karibuni kuanzia 2000.simba Amekuwa akiishia Robo

UTOPOLO hakuna kitu.
 
Elewa mada Kwanza ndipo uchangie
 
Back
Top Bottom