Miaka 25 ya huduma ya mtoto na kijana

Miaka 25 ya huduma ya mtoto na kijana

John Walter

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
68
Reaction score
63
MAADHIMISHO.

Ni miaka 25 sasa tangu kuanza kwa huduma ya mtoto na kijana (COMPASSION)

KAULI MBIU
"Malezi bora kwa ulinzi wa mtoto".

Huduma hii inamwezesha mtoto kusoma katika ngazi zote na kuwakomboa katika hali ya umasikikini kupitia Shirika la Compassion International.

Vijana wengi wasomi walioajiriwa na kujiajiri wamewezeshwa kupitia huduma hiyo.

Rasmi ilianza mwaka 1999 mkoani Arusha palipo makao makuu na hadi sasa vipo vituo zaidi ya 500 kwenye makanisa mbalimbali ambao ni washirika wenza.

#Walterhabari
 
Back
Top Bottom