Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe HI chale hapo jirani na PAXWakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
[emoji23][emoji23][emoji23]So sad wallaqh. ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona vidole laini hivo?? yaani ulivo ishika hiyo Bia Mkuu labda watu wengine wasiione!!! yaani hata kutongozwa tu na Bar Med pia? vitoto vya shule? hawakutongozi Baba pole unasafari ndefu???
jifunze kushika Bia mkononi vizuri utaona haooooooo!!
Na mikono laini hivyo ni mwanamke gani mwenye akili atakataka isipokuwa mabasha tuUkioa utampa mimba.Lakini iviivi no,na inaonesha unapata wadada wenye akili zao
Bas mshikaji ni mpapai dumeNa mikono laini hivyo ni mwanamke gani mwenye akili atakataka isipokuwa mabasha tu
Vuta bangiWakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
Maweee!! udenda wangu wajameni!! duuu!! tamu sana hii!! ndo maana tuli nenepa na kupendeza Bongo, yaani ukikonda Bongo heee!! sijui!! katambikie mazima au ujitoe sadaka kwa Mapepo!! Hapo ukitaka hata kale kaugali wa muhogo unapata Black point.... panaitwaje kwa yule mjita wa kijitonyama vile?Nile chips Kwan me mwanamke?View attachment 1842072View attachment 1842073
Wakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
Njoo tujaribuWakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
Puli napiga kidogo tu sio sana mademu wapo kitaa ila mpaka ninywe pombe ndo niongee nao bila pombe nakuwa sina lomoni yoyote nakuwa kimya Kama kuku anayetaga.. sometimes mademu wakijua me ni mlevi wanakula Kona wananiachia manyoya..nakula pombe, sie wote si ma born town tunajuana wazee wa ma vibe..
Ila ndo hivo wakuu sometimes waga nahisi lifestyle yangu itapelekea kuwa na mbegu zisizo na ubora wa kutungisha mimba ila sometimes najipa matumaini hata Kama nikikosa mtoto sio ishu maisha yataendelea tu Tena ndo nakuwa Sina mzigo wa kulea...
Ila tatizo nikiwaza Mali zangu nitamwachia Nani Hapo naishiwa pozi...sema Nini sio case mbona yesu yule mwalimu asiye na kifani mfalme mbona hajawahi kuwa na watoto halafu fresh tu kafanikiwa.aah bwana eeh watoto Ni majaliwa kasim...tafuteni hela nyie.