Pre GE2025 Miaka 3 kwenye game, suala la nyomi bado inaonekana shida kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida.

Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana kujaza hata uwanja mdogo kabisa.

Haiwezekani rais apate shida kujaza uwanja, anazidiwa hata na mkuu wa mkoa inakuwa sio vizuri kabisa.
 
Uje J4 uone nyomi lake uwanja wa Morogoro
 
Na siku akijaza utasikia kabeba kwenye malori binaadam kazi aisee!
 
Inabidi atumie Busta
1. Kusomba watu kwenye mafuso, malori, matipa, matela ya trekta na pawatila, mabasi n.k
2. Kutumia wanafunzi waliovaa nguo za nyumbani na waalimu
3. Kutumia wasanii wakubwa na watu maarufu, watoe shoo za bure.

Bitozo bila busta, atahutubia msafara wake, machawa, wakereketwa wa chama na wale mabibi waliopewa vitenge.


NB. Wataiba kura watashinda
 
Nyomi ndo anaongeza madaraka ya Urais?
Au nyomi ndo linaleta ushindi?
Ikiwa kukosa nyomi hakupunguzi madaraka ya Rais wala hakumzuii kushinda, mi sielewi....
 
Asante sana kwa kufuatilia ziara ya Mhe. Rais. Endelea ili upate taarifa zaidi za mafanikio ya uongozi wa Mhe. Rais Samia. Wengine wanangalia na kufuatilia redio kama wewe usijali. # Kazi zinambeba Mhe. Rais Samia.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nyomi lazima maana promo kubwa sana Watz hawana kazi wemgi wapi tu hasa masokoni na stand......muda wote wapo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…