MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida.
Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana kujaza hata uwanja mdogo kabisa.
Haiwezekani rais apate shida kujaza uwanja, anazidiwa hata na mkuu wa mkoa inakuwa sio vizuri kabisa.