Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

Attachments

  • downloadfile-23.jpg
    downloadfile-23.jpg
    39.6 KB · Views: 2
Ila suala zima la watoto wa kiume kukasirishwa na mafanikio ya mtoto wa kike kama kwenye huu uzi huwa silielewagi kabisa.

Watanzania ni viumbe ambao inatakiwa tukasomwe na kufanyiwa utafiti maabara.​
Hakuna aliyekasirika hapa.
Kama kuna ushahidi lete hapa tuuone wa mtu kukasirika.
Ila ukweli usemwe huyo ni binti hata umri wa utu uzima hajafika.
Alikua kondakta wa mabasi ya mikoani,aya nieleze kwa makusanyo yapi ya pesa amiliki gari namna hiyo na kuwa na pesa hivyo!??
 
Back
Top Bottom