Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

Huyo dada. Mitandao ndio imempa hela.

Kumbuka ana followers zaidi ya milioni moja instagram na ana followers zaidi ya milioni tik tok.. sio kazi rahisi kupata hao followers.

Ni kama kina mwijaku, na influencer wengine.

Anapata sana dili za ubalozi wa kampuni na za matangazo kwenye page zake instagram na tik tok.

Hizo ndizo zinazompa hela .. ila sio mshahara wa ukonda.

Hapo alipo ni balozi wa simu za ITEL, Balozi wa Hisense, Balozi wa Latra na vikampuni vingine kibao.

Ukichanganya na matangazo ya wafanyabiashara wadogo anayopost mara kwa mara.. IST lazima inunuliwe tu.

Zama hizi hela ipo mtandaoni
 
Hakuna aliyekasirika hapa.
Kama kuna ushahidi lete hapa tuuone wa mtu kukasirika.
Ila ukweli usemwe huyo ni binti hata umri wa utu uzima hajafika.
Alikua kondakta wa mabasi ya mikoani,aya nieleze kwa makusanyo yapi ya pesa amiliki gari namna hiyo na kuwa na pesa hivyo!??
Kwanini ufuatilie maisha ya watu. Unavifahamu vyanzo vyake vyote vya mapato ?​
 
Huyo dada. Mitandao ndio imempa hela.

Kumbuka ana followers zaidi ya milioni moja.. sio kazi rahisi kupata hao followers.

Ni kama kina mwijaku, na influencer wengine.

Anapata sana dili za ubalozi wa kampuni na za matangazo kwenye page zake instagram na tik tok.

Hizo ndizo zinazompa hela .. ila sio mshahara wa ukonda.

Hapo alipo ni balozi wa simu za ITEL, Balozi wa Hisense, Balozi wa Latra na vikampuni vingine kibao.

Ukichanganya na matangazo ya wafanyabiashara wadogo anayopost mara kwa mara.. IST lazima inunuliwe tu.

Zama hizi hela ipo mtandaoni
Bora umenena vyema
 
Huyo dada. Mitandao ndio imempa hela.

Kumbuka ana followers zaidi ya milioni moja instagram na ana followers zaidi ya milioni tik tok.. sio kazi rahisi kupata hao followers.

Ni kama kina mwijaku, na influencer wengine.

Anapata sana dili za ubalozi wa kampuni na za matangazo kwenye page zake instagram na tik tok.

Hizo ndizo zinazompa hela .. ila sio mshahara wa ukonda.

Hapo alipo ni balozi wa simu za ITEL, Balozi wa Hisense, Balozi wa Latra na vikampuni vingine kibao.

Ukichanganya na matangazo ya wafanyabiashara wadogo anayopost mara kwa mara.. IST lazima inunuliwe tu.

Zama hizi hela ipo mtandaoni
Watu walioshindwa huwa hawapendi kuona mwingine akifanikiwa. Ndio maana kila siku utawasikia wakitoa kauli za kuonesha mafanikio ya mtu fulani yanechangiwa na vitu nyuma ya pazia. Hamna hata mwenye ushahidi ila ndio hivyo roho za korosho. Katoto ka watu kamesema kanapata matangazo,hela nyingine kaongezewa na wazazi lakini bado mtu atakwambia ana boashara nyingine ambayo akili zao ndio zineganda huko.
 
Back
Top Bottom