Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Muache ajichanganye kweli.Jichanganye .
Wewe jitekenye 😂😂Maisha ni popote , kazi zote zinalipa , mwisho kabisa kufa maskini ni kujitakia .
View: https://youtu.be/RyC8yaAWQu0?si=85Yn9cLJGG-ck8t7
Muwe na Siku njema
😂😂😂Wewe jitekenye 😂😂
Wewe jitekenye 😂😂
HakikaHakunaga Mchaga boya
Watu wanapambana sana ,tusiwaze hivyoAnabiashara nyingine ya gizani mazee.....
Hapo utakuta kuna one of the Tycoons anafadhili kilakitu....
Sasa jaribu kushindana nae kwa kuamini yanayo onekana kwa macho uone....🤣
Labda sababu ni hii...🙊Watu wanapambana sana ,tusiwaze hivyo
Behewa sio tako kila mtu analo.Kesho anaweza kununua behewa Lake,maisha ni mipangò
Sio mbaya amepiga hatuo basi ni ya watu binafsi ila treni ni chini ya serikali ameula..ila connection ndio kila kitu hapo..Maisha ni popote , kazi zote zinalipa , mwisho kabisa kufa maskini ni kujitakia .
View: https://youtu.be/RyC8yaAWQu0?si=85Yn9cLJGG-ck8t7
Muwe na Siku njema
Uko sahihi , huyu dada anaonekana ni mpambanaji tuIla suala zima la watoto wa kiume kukasirishwa na mafanikio ya mtoto wa kike kama kwenye huu uzi huwa silielewagi kabisa.
Watanzania ni viumbe ambao inatakiwa tukasomwe na kufanyiwa utafiti maabara.
Hakuna aliyekasirika hapa.Ila suala zima la watoto wa kiume kukasirishwa na mafanikio ya mtoto wa kike kama kwenye huu uzi huwa silielewagi kabisa.
Watanzania ni viumbe ambao inatakiwa tukasomwe na kufanyiwa utafiti maabara.
Kwani bila connection hawezi toboa , mi nadhani tufute mawazo hasiSio mbaya amepiga hatuo basi ni ya watu binafsi ila treni ni chini ya serikali ameula..ila connection ndio kila kitu hapo..