The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Average life span imeongezeka Sana kiasi kwamba wanasema Kasi ya live birth ni kubwa kuliko death.Sasa wewe unaishi maisha kama ya kikwete?
Anacho kisema jamaa ni sahihi kabisa,life expectancy yetu wachache sana wanafika kuanzia 60+,kati ya Watanzania 100 wanaofika 60+ hawafiki hata 20.wengi wanakata moto kianzia 40-50.Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
Jk ni exceptional sio wa kumtolea mfano yupo kwenye kundi LA viongozi,na kimbuka hapa Duniani viongozi wengi wanakufa na 80-90+ kutokana na ubora wa maisha waliuonayo.Average life span imeongezeka Sana kiasi kwamba wanasema Kasi ya live birth ni kubwa kuliko death.
Hata mimi by the year ndio kwanza ntakuwa 65 sasa hiyo miaka si michache kabisa.
Kazi gani ngumu tunafanya wakati kinachotakiwa ni mazoezi na kula vizuri wala hata haihitaji stress kama za JK.
Labda useme tutakuwa na aging related problems za hapa na pale na interests za kutumia mitandao zitakuwa chini Sana.
Sawa lakini huo Umri wa 60 plus tutavuka Sana tuuJk ni exceptional sio wa kumtolea mfano yupo kwenye kundi LA viongozi,na kimbuka hapa Duniani viongozi wengi wanakufa na 80-90+ kutokana na ubora wa maisha waliuonayo.
I will still be alive though I don't like it.Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
Tena wengine 40+[emoji2957]Najua memba wengi wa jf ni 30+ sasa plus 30 itakukuta alone kaburini.
Umeongea kitu kuzuri sana hongera mkuuKufa sio tatizo bali tatizo ni kufa na dhambi.
2052 ntakuwa nimeikaribia pension boss usinitabilie kwamba ntaukosa huo mzigo.Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
Mkuu kuna binadamu ambaye anakufa pasipo kuwa na dhambi yoyote?Kufa sio tatizo bali tatizo ni kufa na dhambi.