Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

Sasa wewe unaishi maisha kama ya kikwete?
Average life span imeongezeka Sana kiasi kwamba wanasema Kasi ya live birth ni kubwa kuliko death.

Hata mimi by the year ndio kwanza ntakuwa 65 sasa hiyo miaka si michache kabisa.

Kazi gani ngumu tunafanya wakati kinachotakiwa ni mazoezi na kula vizuri wala hata haihitaji stress kama za JK.

Labda useme tutakuwa na aging related problems za hapa na pale na interests za kutumia mitandao zitakuwa chini Sana.
 
Oya we man. I'm now 33, thirty years to come I would be alive 63 kijana zaidi ya Jakaya Kikwete. Kusema a half of us would be dead sio kweli, hakuna ajuaye kesho. Sema tu wengi watakuwa wamekufa.
Anacho kisema jamaa ni sahihi kabisa,life expectancy yetu wachache sana wanafika kuanzia 60+,kati ya Watanzania 100 wanaofika 60+ hawafiki hata 20.wengi wanakata moto kianzia 40-50.
 
Average life span imeongezeka Sana kiasi kwamba wanasema Kasi ya live birth ni kubwa kuliko death.

Hata mimi by the year ndio kwanza ntakuwa 65 sasa hiyo miaka si michache kabisa.

Kazi gani ngumu tunafanya wakati kinachotakiwa ni mazoezi na kula vizuri wala hata haihitaji stress kama za JK.

Labda useme tutakuwa na aging related problems za hapa na pale na interests za kutumia mitandao zitakuwa chini Sana.
Jk ni exceptional sio wa kumtolea mfano yupo kwenye kundi LA viongozi,na kimbuka hapa Duniani viongozi wengi wanakufa na 80-90+ kutokana na ubora wa maisha waliuonayo.
 
Haya mambo ya kifo inakuaje tena asubuhi yote hii..!!...sawa tutende yaliyo mema.
 
Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake nalikubali sana na mzee @kidukulilo nasema tena buriani maana u neva noo what tomorrow brings.
2052 ntakuwa nimeikaribia pension boss usinitabilie kwamba ntaukosa huo mzigo.
 
Kufa sio tatizo bali tatizo ni kufa na dhambi.
Mkuu kuna binadamu ambaye anakufa pasipo kuwa na dhambi yoyote?
Sote tunakufa tungali tuna dhambi,lakini neema ya MUNGU ndy itafanya wengine waingie paradiso.Tunaishi na kuokolewa Kwa neema Tu na siyo Kwa jitihada ya matendo yetu,Kwa sababu tunaishi kwenye dunia yenye dhambi

Tuliambiwa amri iliyo kuu ni UPENDO..Tupendane..tukipendana tunakuwa ni wenye nuru,nuru huondoa giza(dhambi)
 
Ila hata hapa nilipo ni neema tu.
Shule ya msingi tulikuwa 45 hadi 48 hivi mpaka tunamaliza darasa la saba.
Mpaka sasa wameshakata 6, wengi wetu darasani tulizaliwa kati ya 1990 na 1991.
 
Back
Top Bottom