we nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.
Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi na ukimpa mimba ndio kesi inakuwa nzito sana miaka 30 hio hapo.
Hapo hapo binto huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.
Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba sikuhizi ni vipi tena jumba bovu linamuangukia anaetembea nae ama kumpa mimba eti kisa tu yupo form 5 / 6, kwanini m?
Je wewe binti wako wa miaka 18 wa chuo akipewa mimba utafurahi...we nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.
Zero brainBinti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.
Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.
Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.
Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Argument from emotionwe nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.
Fuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria. Acha akafie gerezani, alienda kusoma au kufuata ngono?Hizi ni DOUBLE STANDARDS.
Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kutembea na mwenzake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ?
Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.
Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.
Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.
Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Mkuu acha kuendekeza chini, kwa kuwa ushajua kinachotakiwa kupita mbali nao tu,Hizi ni DOUBLE STANDARDS.
Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kutembea na mwenzake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ?
Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.
Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.
Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.
Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Shida kuingiza udini kwenye mada zisizohitaji udiniFuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria.
Muhamad angekuwepo zama hizi naye angekuwa nyuma ya nondo miaka 39. Alioa binti wa miaka 9
Muulize R.Kelly atakupa jibu vizuri
Fuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria. Acha akafie gerezani, alienda kusoma au kufuata ngono?
Muhamad angekuwepo zama hizi naye angekuwa nyuma ya nondo miaka 30 (Alioa binti wa miaka 9)
Muulize R.Kelly atakupa jibu vizuri
Ushakinukisha Nini mkuu!?😅Hizi ni DOUBLE STANDARDS.
Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kutembea na mwenzake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ?
Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.
Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.
Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.
Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Je wewe binti wako wa miaka 18 wa chuo akipewa mimba utafurahi... anachozungumzia hapa ni issue ya double standards kuwepo na usawa...we nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.
Kila dakika nyuzi au mnalipwa!