Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
DOUBLE STANDARDS.

Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna kesi ?

Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 wakati ni watu wazima wawili waliopendana.
 
Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.

Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi na ukimpa mimba ndio kesi inakuwa nzito sana miaka 30 hio hapo.

Hapo hapo binto huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.

Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba sikuhizi ni vipi tena jumba bovu linamuangukia anaetembea nae ama kumpa mimba eti kisa tu yupo form 5 / 6, kwanini m?
we nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.
 
Je wewe binti wako wa miaka 18 wa chuo akipewa mimba utafurahi...
 
Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.

Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.

Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.

Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Zero brain
 
Hivi miaka 30 si wanahesabu usiku na mchana? Jumla ni miaka 15 kama ni hivyo? Naomba ufafanuzi nisije ingia kichwa kichwa.
 
we nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.
Argument from emotion

We huna mtoto wa kiume?

Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume anaozea jela miaka 30 kisa katembea na binti mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano?
 
Hizi ni DOUBLE STANDARDS.

Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kutembea na mwenzake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ?

Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.

Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.

Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.

Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Fuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria. Acha akafie gerezani, alienda kusoma au kufuata ngono?
Muhamad angekuwepo zama hizi naye angekuwa nyuma ya nondo miaka 30 (Alioa binti wa miaka 9)
Muulize R.Kelly atakupa jibu vizuri
 
Mkuu acha kuendekeza chini, kwa kuwa ushajua kinachotakiwa kupita mbali nao tu,

Kuna class seven (18+) wengi

Kuna form four leavers (18+) wengi tu

Kuna wanawake mtaani kibao tu

Kuna wauza K kibao

Kwa nini ukomae na wanafunzi??

As long as unajua Kuna miaka 30, ukijiingiza ni uzembe na ufala wa hali ya juu, Kama mimi ndio hakimu nakuongezea miaka 5 mingine ili akili ikukae

Mwanaume mwenye akili hawezi kujiingiza kwenye matatizo kisa mbususu, ACHA UMALAYA
 
Fuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria.
Muhamad angekuwepo zama hizi naye angekuwa nyuma ya nondo miaka 39. Alioa binti wa miaka 9
Muulize R.Kelly atakupa jibu vizuri
Shida kuingiza udini kwenye mada zisizohitaji udini
 
Fuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria. Acha akafie gerezani, alienda kusoma au kufuata ngono?
Muhamad angekuwepo zama hizi naye angekuwa nyuma ya nondo miaka 30 (Alioa binti wa miaka 9)
Muulize R.Kelly atakupa jibu vizuri
1690721966660.png
 
Hizi ni DOUBLE STANDARDS.

Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kutembea na mwenzake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ?

Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.

Inashangaza kuona ukitoka hata kimapenzi na binti wa miaka 18 kama yupo form 5 au 6 ni kesi , ukimpa mimba ni kesi .. mvua ya miaka 30 hio hapo.

Hapo hapo binti huyo huyo angekuwa chuoni anasoma certificate ama diploma ni ruksa kutembea nae kimapenzi na hata kumpa mimba, hakuna tatizo kabisa.

Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 aakati ni watu wazima wawili waliopendana na kushirikiana kutunga mimba
Ushakinukisha Nini mkuu!?😅
 
we nia yako ni nini, una mtoto wa kike, utajisikiaje binti yako anayesoma form five akatiwa mimba. We km siyo kichaa utakuwa umelogwa. Huna kingine ulichokiwaza ila tu huu upuuzi.
Je wewe binti wako wa miaka 18 wa chuo akipewa mimba utafurahi... anachozungumzia hapa ni issue ya double standards kuwepo na usawa...
 
Sheria za kibongo jau sana wanawabeba watoto wakike ndyo maana vinaliwa sana tigo
 
Back
Top Bottom