Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.


As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Kasome Quran
Quran 2:25, 4:5
Nyingine
Quran 38:52
Malizia na hii
Quran 44:54
 
Argument from emotion

We huna mtoto wa kiume?

Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume anaozea jela miaka 30 kisa katembea na binti mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano?
Ntaacha kujisikia.Nitakaa naye nimfunde asijekufanya uhayawani akafungwa.
 
Fuata sheria. Tamaa ya ngono isikusababishe uvunje sheria. Acha akafie gerezani, alienda kusoma au kufuata ngono?
Muhamad angekuwepo zama hizi naye angekuwa nyuma ya nondo miaka 30 (Alioa binti wa miaka 9)
Muulize R.Kelly atakupa jibu vizuri
anaeenda chuoni nae pia kaenda kusoma
 
Hiyo ni moja wapo ya Sheria yenye vipengele vya kijinga sana.
Ukimpa mimba mwanamke wa miaka 30 anayesoma sekondar jela miaka 30.
Ukimpa mimba mwanamke mwenye miaka 18 ambaye hasomi hakuna kesi
 
waliporuhusu wanafunzi kuendelea shule hata baada ya kupata mimba ilibidi na huku wabadilishe.
 
DOUBLE STANDARDS.


Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano, ila kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna kesi ?

Binti ana miaka 18 huyo anajua anachofanya na ana hisia za mapenzi, sio mtoto wa kuanza kumlazimisha aonekane mtoto mdogo.

Nashangaa sana hawa mabinti watu wazima wanaoruhusiwa hata kuendelea na shule wakiwa na mimba ni vipi upande moja tu unawekwa nyuma ya nondo miaka 30 wakati ni watu wazima wawili waliopendana.
Kwa,hiyo hamu yako ni kuharibu tu watoto wa shule???

Utazaa mwanao apate mimba katika umri huo wa shule ndiyo uje kutetea hili.
 
Kwa,hiyo hamu yako ni kuharibu tu watoto wa shule???

Utazaa mwanao apate mimba katika umri huo wa shule ndiyo uje kutetea hili.
Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano,
 
We ukiona mtt wako wa kiume kakua na nyege mshindo za kutosha mtafutie mke umuozeshe upwiru umuishe la sivyo mtt wako ataozea jela tu hakuna huruma
 
Ni uonevu tu, Mwanamke wa miaka 18 sio mtoto ni mtu mzima.
 
Back
Top Bottom