Miaka 30 ni Umri sahihi wa Kijana kuingia kwenye maisha ya Ndoa

Miaka 30 ni Umri sahihi wa Kijana kuingia kwenye maisha ya Ndoa

Paspii0

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2020
Posts
346
Reaction score
522
Yesu alianza utume wake rasmi baada ya kufikia umri wa miaka 30, kama inavyosema katika maandiko ya Biblia. Katika Injili ya Luka 3:23, inasema, "Yesu alipokuwa na umri wa miaka 30, alianzisha utume wake." Umri huu wa miaka 30 unahusishwa na kipindi cha ukomavu na utayari wa kutimiza dhamira kuu ya maisha yake.

Umri wa miaka 30 ni umri uliokomaa kisaikolojia ,umri kijana anakuwa keshaanza kujitegemea na anaukomavu wa nafsi!, hata msukumo wa kihisia uko kwenye kilele!!!

Vijana tafuteni wenza ,kunyonga mwisho miaka 29!,Majukumu yanaanza miaka 40 na kujilaumu ni miaka 45 hadi 55 usipojiua hapo basi utasubiri miaka 55 kuendelea kujipatanisha na Mungu huku mkitumaini maisha yajayo baada ya kifo!!

Kazi kwenu Vijana
 
Back
Top Bottom