incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani...
Hawajamleta mkali voice wounder
Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc
Bado nitaendelea kuamini ile kauli ya sugu kuwa hili jukwaa halikuandaliwa kwa ajili ya kuwakumbuka waasisi wa Bongo fleva bali kuendeleza uchawa.
Na kama watamaliza tamasha lao ilipaswa Watenge fungu kwa ajili ya kwenda kufaliji familia za malegend waliotangulia
Kama 1. Mezz'B, Ngwair, Mtoto wa Dandu, Spack, na wengineo tofauti na hapo hatutakuwa na iman nao.
Sijawaona pia Mapacha..
Sijamwona pia mkali Ramadee, Sijamwona pia Pnc, Sijamwona cheleaman, sijamwona buibui, Pasha, squuezer, mwanadada Dataz, sijamwona pia Dada chiku, etc.