Miaka 30 ya Chadema, Swot Analysis, PEST Analysis, Imarisheni Strengths, Shughilikieni Weakness, Start A Fresh!.

Vipi kuhusu ACT?
Ni walewale naona. Sijaona chama kinachozungumzia maslahi ya wananchi, ni watu tu wanaotaka madaraka(wakikazana kusema lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka). leo hii Zitto amejicommit kuiunga mkono serikali ya awamu ya sita no matter what.
 
Wewe ni kada wa ccm, huwezi kuleta huu uzi bila kuwa bias.
 

Mazingira ya Tanzania ni magumu sana kwa vyama vya upinzani. Uchaguzi wa 2020 umeonyesha nchi yetu ilivyo chini kidemokrasia!

Chadema wamejitahidi sana kulinganisha na wengine hasa kwenye kusajiri wanachama sitashangaa kama wamefika 10M.
 
Huu uzi utakamilika lini?
 
Ni walewale naona. Sijaona chama kinachozungumzia maslahi ya wananchi, ni watu tu wanaotaka madaraka(wakikazana kusema lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka). leo hii Zitto amejicommit kuiunga mkono serikali ya awamu ya sita no matter what.
Na wale waliyowaleta covid 19?
 
Chadema wanaweza kuwaonyesha :
1). Mwenyekiti ambaye ndiye ameshika hatamu tangu kuzaliwa kwa chama hiki. Kama ni mtoto kuzaliwa, hivi sasa amemaliza masomo yake yote na jiko analitafuta kama hajapata.
2). Kuwa mwaminifu lazima uwe ''Chaga gangsters member''

3). Uwe mbobezi wa kusema uongo ili kulinda maslahi ya ''Chaga gangsters.''
 
Niko na Popcorn huku nikiwazia furushi la matusi hapa jukwaani.
Anyway utangulizi murua sana, na imani yangu kifuatacho ni pilau nyama mbuzi.
 
Tafadhalini sana tulishawaambia wale wasio wachadema msipende kumshauri,kwani Nia zenu ovu nasio njema,lakini kwa uwezo wa mungu sie tutaweza kuyamaliza na sio mtu atokee ccm kuishauri chadema nendeni mkashauri chama chenu.mlidhani chadema itakufa ng'o Wala msiwaze hayo tupo juu kwa kijigitali.
 
Kaanze kutafuta hoja za kuokoteza upya, kwani watoto nao wanashindwa kujizuia kukucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…