Miaka 30 ya MV Bukoba: Kwangu naona kama imetokea jana na hivi ndvyo ninavyo azimisha tukio hili

Ina staajabisha sana. Enzi hizo tukiwa wadogo tulikuwaga tunasikia story kwamba baada ya tukio, wavuvi wali kuwa wakipita eneo la tukio wanaiona MV Bukoba ikiwa inazama. Yani kama mauza uza hivi. Na story nyingine tulikuwa tunasikia wanasema wale divers kutoka South Africa wangeweza kuopoa miili yote lakini baada ya kuopoa miili kadhaa wakiwa huko Chini walitokewa na watu wa ajabu ambao wali waambia " Hao mliowachukua huku wanatosha. Ondokeni na msirudi tena huku hawa walio baki tuachieni Sisi.. Jamaa waliporudi inasemekena hawakutaka kurudi tena Chini ndio maana ghafla serikali ikatangaza kusitisha zoezi la kuopoa miili.. Hii story nayo umeiwahi kuisikia mkuu?
hizi story zilisambaa sana lkn nakumbuka sababu ilikuwa ni mawimbi yalikuwa makubwa sana kiasi cha kuhatarisha usalama wa waokoaji,

kuna mzee mmoja mtoto wake tulisoma nae shule moja sekondari nae alifariki katika hii ajali na bahati mbaya haikupita mda sana mke wake alifariki kwa ugonjwa na mtoto wake alikuwa binti pekee.

baada ya kusitisha zoezi la uopoaji miili maana hakukuwa tena na tumaini la mtu kupatikana hai, huyu mzee alirudi dar es salaam bila kupata mwili wa binti yake.

alikaa siku ya kwanza nadhani alikuwa na mawazo sana ilipofika siku ya pili akajiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake sinza.
 
😭😭😭😭

Duh masikini baba wa watu. Alishindwa kustahimili. Unajua kila ukiwaza ndugu yako au mtoto wako kafariki kwa kifo cha kimatili namna hiyo nafsi inashindwa kubeba huo ukweli mchungu. Ndio maana LIKUD mpaka Leo mwaka wa 30 bado hajasahau.. Ni ngumu sana kusahau aisee. Kwa hiyo na mke wake na yeye alifariki kwa sababu ya presha ya kupoteza mtoto?
 
And u can't blv kuna jamaa kani pm anasema nisinge andika huu uzi nimemkumbusha machungu nimemuelewa. It was too terrble
 
😭😭😭😭

Duh masikini baba wa watu. Alishindwa kustahimili. Unajua kila ukiwaza ndugu yako au mtoto wako kafariki kwa kifo cha kimatili namna hiyo nafsi inashindwa kubeba huo ukweli mchungu. Ndio maana LIKUD mpaka Leo mwaka wa 30 bado hajasahau.. Ni ngumu sana kusahau aisee. Kwa hiyo na mke wake na yeye alifariki kwa sababu ya presha ya kupoteza mtoto?
hapana, mke wake alifariki miezi michache kabla ya MV Bukoba.
 
Wengi tuliguswa kwa namna moja ama nyingine na ile ajali.
Nilipoteza ndugu pia. Kwa hiyo kila kumbukumbu ya ajali najaribu kumsherehekea japo alikuwa mkubwa na hatukushinda pamoja kivile.
 
Back
Top Bottom