Miaka 30 ya MV Bukoba: Kwangu naona kama imetokea jana na hivi ndvyo ninavyo azimisha tukio hili

Pole sana.
Simulizi yako inasisimua katika kuhuzunisha.
MV Bukoba.
Bado tunamkumbuka mzee Kyamutoijo Tineishemo.
alikuwa mtu wa watu.
Taarifa za kifo chake zilihuzunisha wengi mtaa wa Nkrumah Dsm.
🙏🙏🙏🙏🙏

Aendelee kupumzika kwa amani
 
Tukio Hilo kweli lilileta kihoro ( terror) ya hali ya juu sana. Nakumbuka mwezi mmoja baadae kuna jirani yetu muhaya along anaenda Bukoba duh aisee nilimuogopa nikasema huyu mtu ana ujasiri mkubwa kiasi gani.. Haogopi. Yani nilikuwa game nikisikia mtu kaenda ku panda boti au meli nilikuwaga nachukulia kwamba ataenda kuzama. Nilikuwa darasa la saba mwaka huo
Ni kweli lika LETU ilikua kupanda meli ni kifo tuliogopa sana maana zile MAITI zilikua zinatisha sana.

Kusema kweli tuliogopaga sana...pale igoma walipo PUMZISHA Kuna Roho (spirit) huwaga usiku walinzi wa lake oili Huwa wanaitwa kwa majina kabisa usiku walinzi wanaitwa jina na mtu asiye onekanaa
 
Kingine ningependa kujua kutoka kwako kupitia kusoma vitabu ni umegundua namna yoyote ya kuweza ku cope na hilo tilio. Na pili unaweza kuelezea kitaalamu kwanini kila miaka inavyo enda ndio unazidi kuwa na uchungu? Kuna maelezo yoyote ya kisaikolojia unayoweza kuyatumia kuelezea hiyo situation? LIKUD

1. Kwanini kadri siku zinavyo enda ndio ninazidi kuhuzunika? Sababu ndio ninazidi kupata picha halisi ya kilichotokea Kenya mind za abiria walio kuwa ndani ya meli mara baada ya kugundua kwamba sasa ndio wanaenda kufa. Hiyo process yote na chemical reaction in their brain produced by the process kila nikiitafakari ndio napatwa na huzuni sana kwamba duh my sister passed in a terrible way just like that? Najaribu kuvaa viatu vyake kwa ku assume that it is happening to me. I can't take it.. I am a very sensitive person, I have got a " Camera" mind.. Jambo likikaa kwenye akili yangu linakua halina tofauti na picha ( still) au video. Ninaweza kulikumbuka tukio lililo tokea miaka 20 iliyopita as if limetokea Jana. Sio tu kulikumbuka but kuli " Feel " Kabisa and my brain and body react to that feeling as it it happening right now.. I know how to visualize thing and feel them . So I can visualize what happened in the ship that fatefully morning and feel what people inside that ship felt. So in short zamani I just knew the effect ( that my sister passed away in a shipwreck) but not I know and can feel the process of how she actually died...

2. Njia gani ninatumia ku-cope na tukio Hilo?

- Mwanzoni utotoni I was cheating my brain by escaping from the reality through imagination. So I was imagining that she didn't passed away. Or she wasn't in the ship..

2. But now ninatumia sababu hiyo hiyo inayo nifanya kuhuzunishwa na tukio Hilo Kama sababu ya kunifanya nisiwe na huzuni sana. How? . 👇👇👇👇

Nimesema ninahuzunishwa na tukio Hilo kwa sababu ya kugundua process ya kisaikolojia inayo tokea kwenye akili ya mwanadamu pale anapokuwa katika situation ambayo anajua anaenda kufa. Licha ya terror anayo anza kuipata mtu huyo lakini mwisho wa siku mwili wake huwa unazalisha adrenaline hormones. Hilo adrenaline hormones zinamfanya asiogope tena.. Zinaweza kumpa nguvu na ujasiri wa kupambana ama kujiokoa kwenye tukio au nguvu na ujasiri wa kukubaliana na tukio ( He resign his fate) Mtu anapokuwa katika Hali hiyo akili yake inakuwa haiogopi tena.. Inakuwa tayari imeshakubaliana na matokeo.. So I assume this was the case for my sister ( Ambacho kinanipa huzuni ni kufikiri kwamba tukio Hilo lilimpa kihoro na kumuhuzunisha sana na lilikuwa la muda mrefu lakini 2 or 3 days.. But nikigundua kwamba haikuwa hivyo inanisaidia ku cope kwamba at least hicho kihoro ( terror) hakikuaa nae kwa muda mrefu.

3. Nimesoma pia kuwa vifo vya kwenye maji huchukua dakika kumi au 12 tu. Dakika ya kwanza Hadi ya 2 au 3 mtu ana loose consciousness.. Then ten minutes later ana kuwa amefariki rasmi.. So kumbe mhusika anafariki akiwa tayari amesisha zimia kwanza na huchukua dakika moja au mbili kuzimia then anafariki kabisa... Nilipo jua hili nikasema, afadhalu Dada yangu hakuteseka kisaikolojia ku jua kwamba sasa anaenda kufa, dakika moja ya mwanzo alizimia then few minutes there akarudi kwa mola wake ( You can imagine how it touched me to the extent that at least I wish to give my mind a psychological satisfaction that my sister hakufariki vibaya, probably alifariki vizuri kuliko watu wengi ambassador hawakuwa ndani ya meli..
..

4. Nilikua najua tulkio la ajali lilitokea as a surprise to them but kufuatilia tukio Hilo niligundua kwamba meli ilionyesha dalili Mara mbili. Mwanzo ikiwa kemondo Bay ili sway ( iliyumba) na pili ikiwa katikati ya maji ( Around saa tisa usiku) ikayumba tena.. So pengine walisha jiandaa kisaikolojia kwamba anything could happen to them so adrenaline zilikua on alert pia.. ( Hapo hapo kuna story ili kuwa inasema walipofika hilo eneo la tukio, abiria kwa sababu ya furaha ya kuyaona mataa ya Maanza, wakaanza kushangilia na kushukuru, jambo Hilo lilifanya baadhi watake kwenda kutazama dirishani kushuhudia kwa macho yao kwa sababu hawakuamini jambo hili likisababisha abiria wengi kuelekea upande mmoja ndio ikasababisha meli kuyumba magari yakahamia upande mmoja na mizigo na watu then meli ndio ikapinduka) So ni mama tayari walisha jua kwamba something bad would likely going to happen to them so it didn't caught them offguard. Why is this a good psychological thing to me? Kwa sababu inanipa picha kwamba tukio Hilo mwisho hakikuaa a surprise kwao. Lilikuwa ni tukio ambali wali li anticipate.. Ingekuwa ngumu kisaikolojia kama ingekuwa wametoka na meli salama kuanzia Bukoba halafu ghafla wakiwa wanakaribia Mwanza ndio ajali Ika tokea.

4. Nimetumia maandiko ba falsafa mbalinbali as a means to cope with this tragedy. .Mfano : 1. Kuna watu wanaamini binaadamu kabla ya kuja duniani huwa wana sign a covenant with God kuhusu watakavyo ishi na jinsi watakavyo kufa.. 2. Miaka 100 ijayo binadamu wote hawatakuwepo duniani so hatutakumbuka tena haya yaliyo tokea. 3. Duniani kuna waovu na uovu mwingi kwa hiyo binadamu kuondoka kwenye sehemu yenye waovu na uovu mwingi is a blessing. 4. Mtu Hafi kwa sababu mtu ni roho so kilicho kufa ni mwili tu lakini roho haifi. 5. Kuna maisha baada ya kifo so she living her life after death 6. Ni kiumbe wa Mungu na Mungu ndio kaamua kumchukua kiumbe wake kwa staili aliyo ona inafaa yeye basi Mimi kama kiumbe wa Mungu pia siwezi kumkosoa Mungu wala kumpangia jinsi ya kudeal na viumbe wake 6. Baada ya maisha baada ya kifo tutakutana na ndugu zetu na wapendwa we tu. 7. God knows better..
 
Ni kweli lika LETU ilikua kupanda meli ni kifo tuliogopa sana maana zile MAITI zilikua zinatisha sana.

Kusema kweli tuliogopaga sana...pale igoma walipo PUMZISHA Kuna Roho (spirit) huwaga usiku walinzi wa lake oili Huwa wanaitwa kwa majina kabisa usiku walinzi wanaitwa jina na mtu asiye onekanaa
Duh please mkuu funguka kuhusu hili pia nilisikia sana habari za ajali hiyo kuhusishwa na spirits
 
Umeandika vizuri sana..hapa Nina KAZI nyingi nikitulia ntakuja hapa mkononiiiii nakazi nyingi..

All in all, mzee wangu alikua engineer dar es salaam kwa muongo mmoja kasoro so mzee wangu aka amua kuhamia mwanza maana hali ya hewa dar haikumkubali..

So childhood memories zootee nimekulia mwanza na nilizaliwa aghakhan mwanza..

Mv bukoba inazama nilikua najitambua nakumbuka magari yakipeleka miili miti ya nyerere igoma enzi izo nje ya jiji la mwanza pakiitwa..

Hivyo kwenye Rika LETU na likud ni tuliogopa sana usafiri wa majini Mimi hata mzee wangu alikataaga promotion kazini kwenda bukoba

Unwonderful enough A level nikapelekwa uboizni shule moja kubwa ambayo freeman mbowe alisoma

Nimepanda sana mv Victoria mara nyingi na nimekutana na mengi ziwani ntasimulia baadae
Pamoja sana mkuu nasubiria kusikiae kutoka kwako
 
Pole sana mkuu and I hope umeisha move on
 
Ni kweli lika LETU ilikua kupanda meli ni kifo tuliogopa sana maana zile MAITI zilikua zinatisha sana.

Kusema kweli tuliogopaga sana...pale igoma walipo PUMZISHA Kuna Roho (spirit) huwaga usiku walinzi wa lake oili Huwa wanaitwa kwa majina kabisa usiku walinzi wanaitwa jina na mtu asiye onekanaa
Aisee very interestingly hebu funguka zaidi mkuu
 
Pole sana mkuu LIKUD. Mimi pia nilijua meli imezama siku hiyo baada ya kutoka shuleni saa 10. Sikupoteza ndugu wala jamaa ila ninadhani ndo ajali hadi leo inayonihuzunisha zaidi.
 
Ile ajali ilihuzunisha watu wengi sana
 
Pole sana mkuu LIKUD. Mimi pia nilijua meli imezama siku hiyo baada ya kutoka shuleni saa 10. Sikupoteza ndugu wala jamaa ila ninadhani ndo ajali hadi leo inayonihuzunisha zaidi.
Asante sana mkuu. Yes it was very sad story to hear
 
Umeandika vizuri sana..hapa Nina KAZI nyingi nikitulia ntakuja hapa mkononiiiii nakazi nyingi..

All in all, mzee wangu alikua engineer dar es salaam kwa muongo mmoja kasoro so mzee wangu aka amua kuhamia mwanza maana hali ya hewa dar haikumkubali..

So childhood memories zootee nimekulia mwanza na nilizaliwa aghakhan mwanza..

Mv bukoba inazama nilikua najitambua nakumbuka magari yakipeleka miili miti ya nyerere igoma enzi izo nje ya jiji la mwanza pakiitwa..

Hivyo kwenye Rika LETU na likud ni tuliogopa sana usafiri wa majini Mimi hata mzee wangu alikataaga promotion kazini kwenda bukoba

Unwonderful enough A level nikapelekwa uboizni shule moja kubwa ambayo freeman mbowe alisoma

Nimepanda sana mv Victoria mara nyingi na nimekutana na mengi ziwani ntasimulia baadae
Mkuu tunasubiro story yako
 
Ni kweli lika LETU ilikua kupanda meli ni kifo tuliogopa sana maana zile MAITI zilikua zinatisha sana.

Kusema kweli tuliogopaga sana...pale igoma walipo PUMZISHA Kuna Roho (spirit) huwaga usiku walinzi wa lake oili Huwa wanaitwa kwa majina kabisa usiku walinzi wanaitwa jina na mtu asiye onekanaa
Mkuu bado nipo macho nasubiri story kuhusu marehemu wa MV Bukoba kuwaita walinzi usiku.
 
Pale usiku Huwa Kuna unrest soul sometimes Kuna mayowe yasiyo ya kawaida..

Pale Kuna LAKE GAS unayatizama makaburi kwa chini.. Kile kipande kina ajarii sanaa mpaka malamala ajari ni nyingi sana sanaaaaaa za ajabu ajabuu
 
Aisee inawezekana roho za hao marehemu bado hazijapumzika kwa amani. They passed away very violently
 
Pale usiku Huwa Kuna unrest soul sometimes Kuna mayowe yasiyo ya kawaida..

Pale Kuna LAKE GAS unayatizama makaburi kwa chini.. Kile kipande kina ajarii sanaa mpaka malamala ajari ni nyingi sana sanaaaaaa za ajabu ajabuu
Ina staajabisha sana. Enzi hizo tukiwa wadogo tulikuwaga tunasikia story kwamba baada ya tukio, wavuvi wali kuwa wakipita eneo la tukio wanaiona MV Bukoba ikiwa inazama. Yani kama mauza uza hivi. Na story nyingine tulikuwa tunasikia wanasema wale divers kutoka South Africa wangeweza kuopoa miili yote lakini baada ya kuopoa miili kadhaa wakiwa huko Chini walitokewa na watu wa ajabu ambao wali waambia " Hao mliowachukua huku wanatosha. Ondokeni na msirudi tena huku hawa walio baki tuachieni Sisi.. Jamaa waliporudi inasemekena hawakutaka kurudi tena Chini ndio maana ghafla serikali ikatangaza kusitisha zoezi la kuopoa miili.. Hii story nayo umeiwahi kuisikia mkuu?
 
Back
Top Bottom