It was too bad mkuu.. Ilikuwa kama Vita, watu elfu moja kufa ndani ya masaa kadhaa.Tulitoka shule kwend kushangaa jamaa akapita kwa babake mdogo sisii tukaingia Nyamagana baadaye tunaenda kumuona hyo jamaa ndo tukakuta wanatoka kwenda kutambua maiti,kuna mzee
Lubulila naye aliondoka
Hmm lakini makaburi mbona yapo barabarani kabisa, ni huzuni sana!Pole sana mkuu, nina jamaa zangu wanaishi jirani na makaburi ya wahanga wa hii ajali, huwa ni huzuni sana ifikapo tarehe hii.
Mungu awapumzishe kwa amani
Hii theory nimeisikia muda kidogo.. Inafikirisha sana. Niligoogle CV ya huyo mtu nikashawishika huenda yanayosemwa yakawa ni kweli.. Dunia ina watu waovu sanaWapumzike Kwa amani wote waliopoteza maisha katika ajali Ile. Kuna scenario wanasema Kuna msaidizi wa Al Qaeda kwa Africa Mashariki ni miongoni mwa waliopoteza maisha Sasa Sina uhakika kama ni planned au ni accident km nyingine.
Ilisikitisha na kutisha sana. Na nyie madokta pia mlifanya kazi ngumu sana maana sio kazi rahisi.. My father was 46 years old in 96 and he had to travel to Mwanza with his brothers wakienda kutambua mwili. Hiyo trauma ya kuzunguka uwanja wa Nyamagana kutazama miili ya watu walio fariki kwenye ajali ya maji sio Jambo la kitoto aisee. Alipitia kitu kigumu sana kwenye maisha yake and he was not even drinking..Naikumbuka sana hii siku nilikua student chuo pale Bugando na nlikuwa mmoja wa watoa huduma kwenye ambulances ya kwanza kufika pale mwaloni, saa 5 asbh tulisubiri hadi saa 10 jioni hamna majeruhi wala maiti ilikuja hadi namaliza zamu eneo la tukio na kurudi, team zingine zikiendelea, kesho yake nakabaki na team za mapokezi ndipo tukaanza kupokea miili kwa siku 3 mfululizo mortuary ilifurika miili iliyovimba na ngumu kutambulika baadaye ikaanza kuja iliyovimba na kubabuka ngozi then wakubwa wakaamua itakayofuata iende uwanjani nyamagana watu wajaribu kuitambua na ichukuliwe haraka, hatukuokoa watu tukabaki kusaidia kusafisha maiti tu angalau zitambulike tu, sadly! By that time MD wa Bugando Dr. Berege
Miaka 30 mbele nchi yetu haijawahi kuboresha huduma za uokoaji sadly, maiti nyingi ziliopolewa na wananamaji toka SA na wavuvi, tukiitwa nyani bado tunaoona tumeonewa
Ilifika kipindi nipo secondary, ilikua preform one nahisi if not mistaken nilidanganya walimu, na wanafunzi wenzangu my mom alikuwa nje kimasomo... She was referred to India for medication before her passing, so I delusionally told other she's coming back.Kadri miaka inavyozidi kwenda ndio nina umia zaidi kwa sababu ndio ninazidi kuamini kwamba Dada yangu kweli alifariki kwenye ile ajali.
huwa I talk about her as if she still living)
So true, na it becomes a self inquiry quest, unaanza kutafta why's and how's. Kuna mda watu hunishangaa maana ni mbishi wa Kila jambo na Huwa sitaki kuona jema katika lolote, lazima ni criticize. Hii imeniharibia mahusiano mengi sana.Pia tukio hili limenifanya nione maisha ya duniani hayana thamani wala maana yoyote ile..
Amen.MAY THE SOULS OF ALL PEOPLE WHO PASSED AWAY IN MV BUKOBA TRAGEDY CONTINUE TO REST IN PEACE..
That's when spiritually shouldn't be ignored.. it's directly linked to science and time. Na hapo ndioo Huwa naamini Mungu yupo.Tangu kipindi hicho nimekuwa makini na message zinazo zipata kupitia ndoto. I don't take them lightly. Nine fanya very extensive / scientific research about dreams. Nimewasoma kuanzia kina Sigmund Freud, Carl Jang na wanasayansi walio fanya tafiti kuhusu ndoto. Suala la ndoto ni suala la kisayansi. Ndoto zipo more connected with our subconscious mind and most of the time the subconscious mind is trying to warn us through different channels like dreams etc