Pole mkuu,lakini kuandika kunasaidia kutoa uchungu ulioko moyoni na kuponya. Usimlaumu mleta mada,hakuwa na nia mbaya.Kwanini lakini umeamua kututonesha vidonda vilivyopona.
Kwa nini umeamua kuturejeshea huzuni iliyotutesa kwa mda mrefu?
Je unajua uzi wako huu utasababisha wangapi watoe machozi?
Hukupaswa kufanya hivi.
kuusema ukweli,na kubishana kwa logic ni utaratibu mzuri sana na si kwa mihemko na kumkumbatia Mungu wa wazungu na waarabu mwenye mapungufu ni ujingaUnapata faida gani?
nitaku ignore sasa hivi,sichekeshi.
We don't need negative vibes in this sacred space. Mambo yenu pelekeni nyuzi nyingine.msimzidishie maumivu mleta kusema dada yake yupo mbinguni wakati alizama ziwa victoria na meli ya MV BUKOBA na mwili wake haukupatikana haina mantiki na unatakiwa uthibitishe kuwa ni kweli dada yake yupo mbinguni na hakuzama majini.
Hapana. Tulikua Dar shule ya msingi Ushindi.... Walikua wanatenganishwa na barabara tu ukitoka shule unavuka barabara unaingia kwao. Aisee shule nzima ilikua msibani... Tulikua wadogo t age 10 yrs ila mpaka leo sisahau lile tukio. It was very vey sad...😭😭😭
Duh so sad to hear. Ilikuwa Mwanza?
Lile tukio lilikuwa baya sana. Ilikuwa kama vita, watu elfu moja kufa kwa pamoja ndani ya masaa kadhaaHapana. Tulikua Dar shule ya msingi Ushindi.... Walikua wanatenganishwa na barabara tu ukitoka shule unavuka barabara unaingia kwao. Aisee shule nzima ilikua msibani... Tulikua wadogo t age 10 yrs ila mpaka leo sisahau lile tukio. It was very vey sad...
Hata mimi mkuu huu uzi wako umenigusa na umeniponya. Ujue hilo.Yeah facts kabisa mkuu.
Kwahiyo unataka watu wote wakufuate unachokiamini wewe? Tangu umeacha kuamini umepata faida gani?kuusema ukweli,na kubishana kwa logic ni utaratibu mzuri sana na si kwa mihemko na kumkumbatia Mungu wa wazungu na waarabu mwenye mapungufu ni ujinga
We acha tu.Maiti zilikuwa zinatisha.It was too bad mkuu.. Ilikuwa kama Vita, watu elfu moja kufa ndani ya masaa kadhaa.
Hii nadharia mimi inanipa ukakasi.Meli ilikuwa na hitilafu kitambo lakini pia kuna recklesness na negligence vilitokea ikabeba mzigo kuliko uwezo wake.Mkuu wa mkoa akaamrisha itobolewe baada ya kukataa ushauri wa boss wa kamanga ferry aliyeshauri ivutwe hadi nchi kavu.Kama kulikuwa na mshukiwa wa ugaidi ambqye alikuwa hajafanya jambo lolote ingekuwa rahisi kumkamata.Kama US waliweza kuingia ikulu ya Panama wakamkamata rais Noriega wasingeshindwà jambo la kumkamata huyo mshukiwaYaani wakaondosha watu 800 sababu ya mtu mmoja tu (target)? Aisee, the world is not fair
Mkuu wa mkoa hakuwa expert wa masuala ya Marine. So hakukuwa na point yoyote ile ya kitaalamu kwa yeye kutoa ushauri kama huo. Huenda aliambiwa atoe hayo maelekezo kutoka " Juu".Na huenda watu wa " Juu" walipewa maelekezo kutoka Marekani... MV Bukoba was under the US surveillance form Bukoba to Mwanza kupitia satellite Yao.. Ukisoma report ya ; Anatomy of a Terrorist Attack : An in depth investigation of the Bombings of US embassies in Kenya and Tanzania, halaf halafu ukasoma na kesi ya US vs Usama Bin Laden, kisha ukamsoma vizuri huyo gaidi Al Banshiri, unaweza ku connect dot vizuri tu.. Upo uwezekano mkubwa sana kuna foul play ilifanyika, hizo hitilafu yes zinaweza kuwa a perfect alibi but still haziondoi uwezekano wa hujuma.. Meli iliweza ku survive kutoka Bukoba Hadi Mwanza ikiwa imebakiza almost one hour kufika kwenye destination yake ndio likatokea Hilo..All in All Mungu ndio anajua ukweli wote Sisi tunajaribu kufanya speculations tu kujua what actually happened that morningHii nadharia mimi inanipa ukakasi.Meli ilikuwa na hitilafu kitambo lakini pia kuna recklesness na negligence vilitokea ikabeba mzigo kuliko uwezo wake.Mkuu wa mkoa akaamrisha itobolewe baada ya kukataa ushauri wa boss wa kamanga ferry aliyeshauri ivutwe hadi nchi kavu.Kama kulikuwa na mshukiwa wa ugaidi ambqye alikuwa hajafanya jambo lolote ingekuwa rahisi kumkamata.Kama US waliweza kuingia ikulu ya Panama wakamkamata rais Noriega wasingeshindwà jambo la kumkamata huyo mshukiwa
Hivi sababu ya meli kutobolewa ilikuwa nini? Walidhamiria nini? Sijawahi elewa hadi leoHii nadharia mimi inanipa ukakasi.Meli ilikuwa na hitilafu kitambo lakini pia kuna recklesness na negligence vilitokea ikabeba mzigo kuliko uwezo wake.Mkuu wa mkoa akaamrisha itobolewe baada ya kukataa ushauri wa boss wa kamanga ferry aliyeshauri ivutwe hadi nchi kavu.Kama kulikuwa na mshukiwa wa ugaidi ambqye alikuwa hajafanya jambo lolote ingekuwa rahisi kumkamata.Kama US waliweza kuingia ikulu ya Panama wakamkamata rais Noriega wasingeshindwà jambo la kumkamata huyo mshukiwa
Aisee it is a very sad story. Na uwezekano wa kumtambua pia ulikuwa ni asilimia ndogo sana kwa sababu miili Mingi ilikuwa imeharibika vibaya beyond recognition.Aisee pole sana mkuu dah nimeumia hapo mzee alipokua anaenda kila siku kutafuta mwili wa binti yake jamani🥲🥲, poleni sana familia.
Safi sanaPole sana ndugu.
Dingi yangu, mtungi ndio ulimuokoa kwenye ile ajari.
Alipiga mtungi na washkaji zake mpaka akapitiliza.
Anafika bandarini anaona chuma ileeee ishang'oa nanga, akaamua kurudi kuendeleza libeneka
Yalikuwa ni maamuzi ya RC Luhanga mkuu wa mkoa wa Mwanza as he then was.Hivi sababu ya meli kutobolewa ilikuwa nini? Walidhamiria nini? Sijawahi elewa hadi leo