Hata mimi nilikuwa namfahamu sana huyo Mzee Rume alikuwa mtu poa sana akitoka safari anakuja na mikungu ya ndizi kibao tunaenda kuchukua hapo kwake mke wake Mama Hadija alikuwa anatugawia, nilisoma Nyamagana Primary School na mtoto wake anaitwa Haji ( Mtinangi) kwetu ma kotaz ya Railway Kule karibu na shule ya Msingi Mlimani. Nita kuwa nakufahamu kama ulikua mitaa hiyo nilikuwa nakuja sana hapo kwa Rume Yule Rehema binti yake japo alikuwa mdogo kwangu lakini alikuwa rafiki yangu sa
Sio kuwa kipindi hicho walikuwa wanaheshimu utawala wa sheria na mambo ya sovereignity, kwamba wasingeweza kufanya umafia kweupe hivyo. Sasq Mkuu wa Mkoa alichukuliwa hatua gani kwa kutoa amri mbovu hivyo?
Hilo ni kosa lab ofisi,RC alistaafu na akaemdelea kula pension yakeNadhqn naye ni late kwa sasa