Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaRafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,
Mkuu umepotea,Si ajabu hata yeye binafsi hajipendi ndio maana hajui maana ya kupenda...
Tuambie kwanza ulichomshauri wewe tuweze kujazia hapo ulipoishia wewe!
Amerogwa kwa kutupiwa jini la kutokupenda! Amlilie sana mungu hasa maombi ya usiku la sivyo atashindwa kuwa na familia!
[emoji23][emoji23]aendelee kuchukia tu
Amekulia katika mazingira gani?Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,
Asante sanaRafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,