Miaka 34+Sijui Kupenda ni nini?

Miaka 34+Sijui Kupenda ni nini?

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,110
Reaction score
1,462
Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,
 
Tuambie kwanza ulichomshauri wewe tuweze kujazia hapo ulipoishia wewe!
 
Amerogwa kwa kutupiwa jini la kutokupenda! Amlilie sana mungu hasa maombi ya usiku la sivyo atashindwa kuwa na familia!
 
[emoji23][emoji23]aendelee kutojua tu
 
Aache fikra mfu hizo, aanze kujipenda mwenyewe, ajikubali na kujiweka smart, ajifunze kufurahi muda wote na kujiambia maneno mazuri ya kujitia moyo alafu alete mrejesho hapa.
 
kuna kitu halipo sawa ndani ya kichwa au mwili sio bureee[emoji44]
 
Si ajabu hata yeye binafsi hajipendi ndio maana hajui maana ya kupenda...
 
Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,
Poa
 
Amekulia katika mazingira gani?
 
Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,
Asante sana
 
Back
Top Bottom