Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Muda utaongea...Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Siwezi kukunyima like yangu mkuu. Miaka 40 bado upo kwa Wazazi. Mtoa maada unatuchora au sio.Unasema huna mtoto, hujaoa, huna majukumu na una muda mwingi, lakini bado unasubiri maisha yabadilike yenyewe. Ukweli ni kwamba dunia haimzawadii anayesubiri, inamzawadia anayechukua hatua. Ukikaa mbele ya TV kila siku ukisubiri bahati, siku moja utaamka umezeeka huku ukiwa bado unawaambia watu "ninasubiri mabadiliko." Kama kweli unataka maisha bora, anza leo kufanya jambo litakalokusogeza mbele, hata kama ni hatua ndogo.
😆kaa tulia kula , kunya , pumzika....
Smart phone iphone ngapi vile?Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Sasa aii bora huyu 40 mie nina 47 sina mtoto wala mkeMiaka 40 huna hata mtoto?
Wakimsumbua awabutue nao waende kwa wazazi wao maana yupo kwa wazazi wakeUondoke hapo kwenu uende wapi ? Baki hapo hapo, wao si walikuzaa ???
Huyo ana subilia bahati ya wazazi wake waende mbinguni ili apate urithi.We mwenyewe unajichukuliaje Kila ukikaa ukajitafakari?
Unajiona upo sawa?
Ngoja utafutiwe mwenzio..Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae