Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,508
- 15,276
Mkuu Papillon 1906 hivi Juakali imeishia wapi....Patrick ashagundua Enzo anatoka na Regina?
No one can make you feel inferior without your concent.Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae