Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Mtoto kwa mzazi hakui endelea kula maisha usisikilize wahuni.Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Aminakama huna kinachokusumbua mwilini yaani una afya njema tayari una kila kitu
Hakuna mantiki yoyote ya kuwa na mtoto,unazaa na kumleta mwenzio shidani Ili iweje?Miaka 40 huna hata mtoto?
Unyabeeee sana mwananguuu 🔥🔥🔥Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Meli imegonga ukingo mzee,labda kacharika sana halafu hakuna kitu,unabaki unatazama mbele ulimi nje kama mbwa na huko mbele hakuna unachotazama,haya maisha we yaache tuWe mwenyewe unajichukuliaje Kila ukikaa ukajitafakari?
Unajiona upo sawa?
Hadi watoto wa nyumbani kwenu watafundishwa kukudharauMiaka 40 uvivu ushaanza kukunyemelea. Nguvu zinapungua, ari ya kupambana na maisha kama hukuwa nayo ukiwa 20+yrs bas hapo ulipo ndio gudubai.
Vijana tupambaneni.
kuna muda ukifika alaf ukawa hauna hiki au kile jamii inayokuzunguka itakuona mduwanzi.
Shida ni nini?!Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
inawezekana alijipata alaf baadae mistake za maisha zikamrudisha home.Meli imegonga ukingo mzee,labda kacharika sana halafu hakuna kitu,unabaki unatazama mbele ulimi nje kama mbwa na huko mbele hakuna unachotazama,haya maisha we yaache tu
Wakati mwingine mtu umepambana mpaka basi na mambo hayawi,unaamua tu kuweka silaha chini usubiri siku ufukiweShida ni nini?!
Huyu akiamaka asubuhi anakua amedindisha kweli?!Miaka 40 huna hata mtoto?
Ntafukiwa nikiwa napambana. Ila silaha chini hapana.Wakati mwingine mtu umepambana mpaka basi na mambo hayawi,unaamua tu kuweka silaha chini usubiri siku ufukiwe
labda kama hana mawazo. Ila mawazo yakiwa meng atadidisha kweli?.Huyu akiamaka asubuhi anakua amedindisha kweli?!
Ramani ya kurudi haisomeki,waliposema 'amefulia' walimaanisha amefulia ramani ya maishainawezekana alijipata alaf baadae mistake za maisha zikamrudisha home.
Maana wako waliorudisha mpira kwa Kipa weng tu.
Ila pia ukirud home sio ndio unalowea mazima. Unanyuti mie kadhaa then unarud kupambana. This time ukiwa na umakin zaidi.
Anyway. Mwanetu sijui nn kilimsibu. Ila 40 yrs na uko home ni uduwanzi.
Miaka 40 ni mingi sana ukiwa 20+ mpaka utakapoifikia ndo utagundua kumbe 40 sio miaka mingi.Miaka 40 uvivu ushaanza kukunyemelea. Nguvu zinapungua, ari ya kupambana na maisha kama hukuwa nayo ukiwa 20+yrs bas hapo ulipo ndio gudubai.
Vijana tupambaneni.
kuna muda ukifika alaf ukawa hauna hiki au kile jamii inayokuzunguka itakuona mduwanzi.
Anaosha vyombo huyu, itakua analia jikoni bladi fakenUgali ukisongwa unasogea mezani bila soni na unamega tonge huku unamtizama mshua wako usoni?
NakuelewaWakati mwingine mtu umepambana mpaka basi na mambo hayawi,unaamua tu kuweka silaha chini usubiri siku ufukiwe
Na hata 50 si kituMiaka 40 ni mingi sana ukiwa 20+ mpaka utakapoifikia ndo utagundua kumbe 40 sio miaka mingi.
Ni kweli. Ila bado kuna namna anaweza kupambana zaid. Nje hata ya hao wana.Ramani ya kurudi haisomeki,waliposema 'amefulia' walimaanisha amefulia ramani ya maisha
Ukifika 40 washkaji zako wote Wana majukumu ya ada nk,hakuna wa kukupa mkono,huna senti,hujui uanzie wapi,hela ya boksa tu huna