gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wote hawana kitu wenye kitu hawana lepe la nia kukusaidiaNi kweli. Ila bado kuna namna anaweza kupambana zaid. Nje hata ya hao wana.
Kuna ndugu, kuna dada au kaka.
Bas kuna baba mdogo au mkubwa.
Kulima kunataka pesa,kulima ekari moja ya bustani utahitaji 2mTuseme wote hao hamna mwenye uwezo.
Kuna kulima, kuna kufuga.
Tuseme hawana mashamba na mifugo
Ukifika 40 mwili hugoma kazi ngumu mzee, nakumbuka mwili ulivyokataa kazi za tofali na madogo wa 20s walivyokua wananitia maneno ya shombo,niliziwia sana machozi nipate hela ya kula.
Kuna kwenda mjini kuomba vibarua sehem kaz zisizo na ujuzi mfano kubeb mizigo, usafi, kuna kondakta, bodaboda, udalali.
Apambane aone wap anaweza kufanya.
Jembe la mkono.Kulima kunataka pesa,kulima ekari moja ya bustani utahitaji 2m
For sure 40+ mwil unagoma kaz ngumu. Ila kidogo kidogo unaweka ukazoea .Ukifika 40 mwili hugoma kazi ngumu mzee, nakumbuka mwili ulivyokataa kazi za tofali na madogo wa 20s walivyokua wananitia maneno ya shombo,niliziwia sana machozi nipate hela ya kula
50 energy ipo.Na hata 50 si kitu
Ushaanza kamba zako,Sasa aii bora huyu 40 mie nina 47 sina mtoto wala mke
Sijamuona aisee au naye kashavuta
Tunafanana mbona Mimi Nina 37 na sina mpango nimeridhikaBado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Yaani tokea October 23,hajaonekana.Sijamuona aisee au naye kashavuta
Hongera Sana mkuu.Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
maisha ni uchaguzi tuBado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.
Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Usimdanganye bado kijana na ana nafasi tumpe mudaMiaka 40 uvivu ushaanza kukunyemelea. Nguvu zinapungua, ari ya kupambana na maisha kama hukuwa nayo ukiwa 20+yrs bas hapo ulipo ndio gudubai.
Vijana tupambaneni.
kuna muda ukifika alaf ukawa hauna hiki au kile jamii inayokuzunguka itakuona mduwanzi.
Comment kama hii isingekuwepo uzi ungekuwa batiliHapo ndio kwa wazazi wako,sasa uende wapi tena?
Kama vipi,wazazi wako nao waende kwa wazazi wao,
Kila mtu aende kwao.
Mzee wa mbususu kwema?Sasa aii bora huyu 40 mie nina 47 sina mtoto wala mke
Wewe una umri gani?Jembe la mkono.
Pembejeo hawez kukosa. Atapata msaada .
For sure 40+ mwil unagoma kaz ngumu. Ila kidogo kidogo unaweka ukazoea .
Kuna 40s weng na wanapiga kaz ngumu.
Kama hana ujuzi. Atafute kaz isiyo na ujuzi akomae nayo.
Asogee sehem zenye msongamano wa biashara mfano masoko, machinjioni, stand kubwa kuna mishe tu atapata.
Kabisa50 energy ipo.