Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

angalia usipende kuinama inama mbele ya dingi yako

usije ukaaza kulia lia hapa uliwekewa ugolo kwenye bia na dingi yako akakutatua
 
still you can make it gentleman,

ni kua na uthubutu tu wa kuanza sasa ambacho ni kipaumbele zaidi kwako, kama ni kitega uchumi, nyumba, shamba au mke unaweza amua tu.

Fursa ni nyingi na kubwa mno ya kufanya chochote Tanzania , na in five years ukajikuta na nyumba, mke na watoto, na umebadilika kabisa mpaka ukajishangaa mwenyewe ulichelewea wapi?🐒
 
Hauko peke yako katika mimi na miaka 50 na sijui nataka nini. Naamka nakula nakehsa na simu nakunya alafu nalala
 
Una bahati.Kumbs hata macho na vidole unamiliki?
 
Kama Yesu alirudi kwa babake hadi leo,wewe ni nani hadi uondoke kwenu?
 
Nyeti pia ni umiliki muhimu kuliko pesa wakati mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…