Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.
Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.