Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Wewe ilikusaidia?Mkuu najua utasema ni utani ila hii mbinu utanishukuru badae kwa mda wako..
Na hata kama utakua na chochote kitu utanitumia tuu sina baya..
Nunua cologate ile dawa ya meno.
Kila asbhi paka na unapolala paka
Ndani ya week case itakua closed....