Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Kila kitu na wakati wake. Ukiona hivyo ujue jua ndio linazama hivyo. Itafikia wakati hata ukitamani hutoweza kulila.
Kikubwa una watoto tayari kuondoa shaka yeyote juu ya utimilifu wa uanaume wako.

Shukuru Mungu kwa hali hiyo, unaepukana na mengi.
Mbaya ukitamani kuliwa wewe tu, lakini kama hutamani kula mbona raha tu.
 
Jamaa ndio umeamua kuniua kabisa hapo kwenye mstari wa mwisho "mbaya kutamani kuliwa" 😁😁😁
 
Mkuu najua utasema ni utani ila hii mbinu utanishukuru badae kwa mda wako..
Na hata kama utakua na chochote kitu utanitumia tuu sina baya..

Nunua cologate ile dawa ya meno.
Kila asbhi paka na unapolala paka
Ndani ya week case itakua closed....
 
Back
Top Bottom