Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Jaribu juice mkuu..
 
Ni kawaida hiyo hali kutokea kwenye ndoa hasa ndoa za muda mrefu ila hapo ndipo unahitaji kupambana kweli kweli maana ndoa nyingi huwa zinaishia kwenye hali hiyo
 
Back
Top Bottom