Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
- Thread starter
- #101
Nipe njiaNi kawaida hiyo hali kutokea kwenye ndoa hasa ndoa za muda mrefu ila hapo ndipo unahitaji kupambana kweli kweli maana ndoa nyingi huwa zinaishia kwenye hali hiyo