Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
- Thread starter
- #121
Sasa unataka kusemaje ndugu, nishushe presha kwa7bu nihali ya kaida?Kuna wanaume humu wana comment as if wanamuona jamaa ana shida,ukweli ni kuwa mihamu huendana na umri pamoja na mazoe.
Ni kama mtu akiwa kijana wa miaka 22 akipata mwanamke mpya unaunganisha golf ndani kwa ndani lakini huyo huyo mwanamke ikidumu nae hata miezi 3 utaanza kumzoea na hata hizo golf huwezi unganisha ingawa utakuwa na huo huo umri.
Pia kabdri unri unavyokwenda vichochoe vingi hupungua.