Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Ushaona mtu anaweza kula kuku kila siku iendayo kwa Mungu bila kubadilisha mboga?

Chakula hata kiwe kitamu vipi, ukikitumia kila siku, hukinasha vibaya.

Wewe nguvu zako unazo sana, tatizo bibie ushamzoea, hana jipya ni kama dadako kwa hivi sasa.

Na kama nasema uongo chepuka uone kama haujavunja chaga!

Na vile mlishazaa na watoto, huyo mkeo ni ndugu yako kisaikolojia, usipogangamala waweza maliza hata mwaka bila ya kumla na usione tabu yoyote.
 
Inawezekana, yani hata tukiwa ndani nimkute na mkao gani hata mapigo ya Moyo hayabadiliki kabisa 😁😁😁ila Sasa hapo kwenye kuniambia nichepuke ndio shughuli Sasa, mazoea Sina.
 
Back
Top Bottom