Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Inawezekana, yani hata tukiwa ndani nimkute na mkao gani hata mapigo ya Moyo hayabadiliki kabisa 😁😁😁ila Sasa hapo kwenye kuniambia nichepuke ndio shughuli Sasa, mazoea Sina.
Hapo ndio tatizo lilipoanzia, inaonekana kiungo chako hukifanyishi mazoezi mara kwa mara
 
We acha tu, saivi hata asubuhi mnara hausomi kabisa jamaangu.
Fanya hivi mkuu kujitia busta;
Chai yako iwe ni tangawizi, kitunguu saumu, limao na asali mbichi. Mimi ndio maisha yangu ya kila siku asubuhi na jioni. Usiku sili msosi mgumu, nakunywa tangawizi tu na kutafuna karanga au korosho.
 
We bwana mdogo sana.....tafuta tiba haraka kabla mambo hayazidi kuwa mabaya........

Mwanaume hazeeki nyama ya utamu......

Wapo watu wanakimbilia 80 na bado mnara unasoma wewe dogo janja unasingizia umri........

Wewe sema kama una tatizo watu walitatue usisingizie umri.....nyege hazina umri bhana.......

Kijana wa miaka 40 mpaka 60 sio wa kulalamikia masuala ya nguvu za kiume unless una matumizi mabovu ya mwili wako...........

Labda nikuibie Siri..... mwanamume vinavyomrudisha nyuma kwenye hilo ni maradhi tu lakini si vinginevyo..........ndio maana wanasema mwanaume hazeeki.......

Wewe bwana mdogo tafuta tiba haraka tusije kusikia kesi za kukatana mapanga.....
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Unaweza kwenda kwa Mwanamke mwingine mnara ukasimama usiku kucha...hapo mmeshazoeana sana
 
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
Kuwa mlev maana umepambana hadi kufka 40 syo mchezo hapo kusavaifu umebaksha kama 10 kwaiyo jiburudshe moyo wako mwenyw
 
Back
Top Bottom