Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Chalii Wa Kipare

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
462
Reaction score
907
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida.

Zamani nilikuwa namsumbua bibie anipe tunda lakini huwezi amini sasa hivi yeye ndio hunisumbua kwani mimi Sina time kabisa.
 
mkuu unatupa taarifa au unataka ushauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…