Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kila kona kuna shida ya maji.

Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu

Kodi kandamizi na tozo za kibabe

Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
 
Kila kona kuna shida ya maji.

Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu

Kodi kandamizi na tozo za kibabe

Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
Ninakazia maisha magumu hadi kwa chawa watanzania tuamke.

Sisi ni watanzania kwanza vyama baadaye!
 
Madanganyika yanakenua mimeno na kusema "Happ birthday".
 
Sukuma Gang unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa

Ukombozi wetu ni mgumu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yetu.

"Malaika wasiokuwa na mawaa tutawapata wapi?"

Tunapofeli ni katika kuwa na maadui wa kudumu.

Tutakuwa tumewiva tutakapokuwa tumefikia kutambua hata marafiki hawatakaa kuwa wa kudumu, bali malengo.
 
Back
Top Bottom