Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Jan 28, 2023 #1 Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 28, 2023 #2 Kamanda Asiyechoka said: Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi. Click to expand... Ninakazia maisha magumu hadi kwa chawa watanzania tuamke. Sisi ni watanzania kwanza vyama baadaye!
Kamanda Asiyechoka said: Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi. Click to expand... Ninakazia maisha magumu hadi kwa chawa watanzania tuamke. Sisi ni watanzania kwanza vyama baadaye!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jan 28, 2023 #3 Kamanda Asiyechoka said: Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi. Click to expand... Sukuma Gang unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa
Kamanda Asiyechoka said: Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi. Click to expand... Sukuma Gang unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa
S Setin JF-Expert Member Joined Dec 18, 2020 Posts 649 Reaction score 906 Jan 28, 2023 #4 Keki ya taifa ni kwa ajili ya walamba asali na chawa wao.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jan 28, 2023 #5 Madanganyika yanakenua mimeno na kusema "Happ birthday".
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 28, 2023 #6 SAGAI GALGANO said: Sukuma Gang unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa Click to expand... Ukombozi wetu ni mgumu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yetu. "Malaika wasiokuwa na mawaa tutawapata wapi?" Tunapofeli ni katika kuwa na maadui wa kudumu. Tutakuwa tumewiva tutakapokuwa tumefikia kutambua hata marafiki hawatakaa kuwa wa kudumu, bali malengo.
SAGAI GALGANO said: Sukuma Gang unahangaika sana kama kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa Click to expand... Ukombozi wetu ni mgumu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yetu. "Malaika wasiokuwa na mawaa tutawapata wapi?" Tunapofeli ni katika kuwa na maadui wa kudumu. Tutakuwa tumewiva tutakapokuwa tumefikia kutambua hata marafiki hawatakaa kuwa wa kudumu, bali malengo.