Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Hakika ni Umoja wetu; Ndio Unafikisha Chama Kikubwa Zaidi Afrika; Chama Chenye Wafuasi zaidi ya Milioni 12 ; Chama Imara ; Chama Madhubuti Katika kusheherekea Miaka 48 Tangu kuzaliwa kwake
Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025 ; Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan