Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

marehemu aliwawa kwa majeraha yaliyotokana na risasi
 
Hili jambo lilifikishwa mahakamani na watu wakahukumiwa! Tumia simu janja uliyoitumia kupost hii mada then usome history ya hii kesi. #Tuache maneno mengi.🙏🙏🙏
 
Lee Harvey Oswald mpaka leo ndio mtu pekee aliyehukumiwa kwa kosa la kumuua Rais John D. Kennedy wa Marekani, lakini wataalam wa mambo wanakwambia JFK aliuwawa na CIA na wahafidhina ndani ya serikali yake!

Na vipi kuhusu Lincoln?
 
Nasikia captain humud ndio alimfyetulia risasai abedi karume
 
Wewe unawaza nini juu ya hilo?
Umeajuaje kua hakufa kawaida bali aliuwawa, mahali ambapo uliona kifo chake kimeandikwa ni vema ukapitia tena kuona sababu za kifo chake halafu dokeza walau kidogo uone jinsi watu watatililika hapa.
 
Akili zako ni kama wabunge wa viti maalum
 
Back
Top Bottom