Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Kwan mtu kufa ni mpaka auliwe mkuu?
Kwan elimu ndo pesa mkuu?Uendelee kurisiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan elimu ndo pesa mkuu?Uendelee kurisiti
Bwashee yuko kwenye foleni anansubiri buku tanoTukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc: johnthebaptist
Liko wazi anahesabiwa tuMambo ya visasi, visasi huwa haviishi, hata Makonda alivyompiga vibao mzee Warioba watoto wa Warioba watakuja kulipa kisasi tu
Pole kwa kughafirika mkuu.Akili zako ni kama wabunge wa viti maalum
Mkuu tatizo la historia ya nchi hii imejaa UONGO mwingi kuliko UKWELI kwa sababu watawala wa mwazo walifanya rafu nyingi sana chini ya kapeti na kuandikwa mazuri yao tuTukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc: johnthebaptist
Uzi gani babu!!Mkuu tatizo la historia ya nchi hii imejaa UONGO mwingi kuliko UKWELI kwa sababu watawala wa mwazo walifanya rafu nyingi sana chini ya kapeti na kuandikwa mazuri yao tu
Kuna DHANA kama mbili hivi kuhusu kuuwawa kwa Kwarume
Mosi,
Inasemekana Karume alikua dikteta katili na alipoteza waliokwenda against na yeye na wengi wao wakiwa maswahiba wake wa karibu sana ana alianza nao kutawala pamoja
Askari aliye muua Humud inasemekani alifanya hivyo kulipa kisasi cha baba yake kuuwawa na Karume
Pili
Inasemekana Karume aliuchoka muungano na kutaka Znz ijitawale na awe na uhuru kamili kama rais badala ya kuwa chini ya Nyerere
Inasemekana Ikabidi shughulikiwe haraka asije akauvunja muungano
Kwa muktadha huo basi ni ukweli usiopingika kwamba wakati wa Karume watu walifungwa na kupotezwa sana chini yake hata mchonga na jiwe hawamfikii
Lakini pia muungano wa nchi hii unalindwa kwa gharama yoyote ile ikibidi, wengi sana wamesulubiwa kwa kutaka kuvunja muungano huu enzi hizo na hata sasa
Soma uzi huu kuna madini mengi sana kuhusu Karume na muungano
![]()
Mkuu si nime attach link ya srediUzi gani babu!!
Kwangu naona habari za metaMkuu si nime attach link ya sredi
kwahiyo unamtishaUkipelekwa mahakamani uambiwe uthibitishe hili unaweza..au unabwabwaja.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Search huu uzi hapa Jf mkuuKwangu naona habari za meta
The so called walinda MuunganoTukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc: johnthebaptist